Mtunzi
*NYEMO CHILONGANI*
*ULINIUA GLORIA*
*Sehemu ya 01*
Kelele za shangwe zilikuwa zikisikika kutoka katika nyumba ya mzee Steven. Vigelegele kutoka kwa wakinamama vilikuwa miongoni mwa...
Kuna watoto wawili ambao wamekua pamoja na kujifunza muziki pamoja na wametoka pamoja huko DRC,mmoja yuko chini Koffi Olomide ambae kwa sasa ni kama mke wake akiitwa Cindy Le Coeur na mwingine...
Kuuliza tu out of curiosity, sisi huku tunajua Wasafi, Mbosso, Jux na sasa Maua Sama.
Je, Tanzania nyinyi husikiza nani kutoka Kenya?If you even listen to Kenyan music...
Sent using Jamii Forums...
Hii nyimbo ni nzuri sana ni kijana kutoka kigoma kakonko tz..Silvester Faida Ila Jina la kiusanii anatumia JACK-SOLDIER :SINA RAHA huu wimbo nimeupenda haswa nimejaribu kuweka nusu ya kipengele...
MOYO USINIDANGANYE
NO :01
Mara yangu ya kwanza kuja Dar es Salaam, rafiki yangu Obey alinizungusha kariakoo. Zanzibar pamechangamka lakini mji huu ni hatari. Kuna kila aina ya bidhaa, na...
Habarini wana Jamii Forum,samahanini kama ntakuwa nmetumia lugha gongano hapo kwenye kichwa cha huu uzi..,ila naomba nijuzwe maana ya vifupisho vya Video Show..
Yaan Utakuta Kuna Kipindi...
Ngwair - Sikiliza
[Ngwair & JD]
kama ni demu sikiliza, niskize mi
kama una swali uliza, niulize mi
hata kama sijamaliza, ah sikiliza
kama ni demu sikiliza, niskize mi
kama una swali uliza...
Wakuu natafuta kitabu cha masala kulangwa kwa lugha ya kisukuma. Naomba mnielekeza sehemu ninayoweza kukipata. Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wadau,
Mwenye clip ya masimulizi ya hadithi zilizotungwa na George Iron Mosenya kama "usinililie mimi kawasimulia wanao" tafadhali naomba anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.