Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shetani ndiye aliye mshawishi au kumdanganya Eva kula tunda lililo katazwa na Mungu. Kosa lake la kwanza ni kumjibu: Eva alimjibu, “Mungu kasema tukila au kuyagusa matunda yaliyo katika mti ulio...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni vigumu kumlinganisha Jack Bauer na Jason Bourne kama ilivyo vigumu kuwalinganisha Jackie Chan na Bruce Lee au James Bond na Willie Gamba ama Carlos the Jackal na Companero the Vulture. Njia...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Kikundi cha sanaa ya maigizo cha living stone Kinachoundwa na wasanii wa ujiji,kibirizi,na katonga, mkoani kigoma kipo hatiani kufungiwa, kutokana na Mkuu wa kundi hilo ramadhani...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kumbe Mrisho Mpoto akiwa Bongo anatembea peku. Lakini akishakwea ndege kwenda nje ya nchi anaacha mila yake Tanzania ananyuka viatu na sandles kali kali.
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Tasnia ya Muziki imempoteza Gwiji wa kucharaza gitaa la Solo, Shabani Yohana Wanted, kilichotokea juzi hapa Gaborone Botswana, alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu, na siku kama tano zilizopita alikuwa...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Tanzania Music Award bado ipo? Je Sponsor bado ni Kilimanjaro Premium lager? Kuna award zozote za music , film or media kubwa Tanzania kwa maana ya mikoani au taifani? Asanteni Sent using...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
video inayotreand ya Humphrey polepole mwenezi wa ccm akisakata rumba inawakejeli watanzania Kimsingi ukiiangalia ni Kama yeye na ccm wanawakejeli watanzania: Yani ni Kama toto jinga la nyumbani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku...
0 Reactions
7 Replies
1K Views

1 Replies

0 Replies
492 Views

706 Views
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install...
0 Reactions
0 Replies
528 Views

801 Views
_*RATIBA YA MUZIKI LEO JUMAMOSI - CLUB LEGENDS*_ Saa 11 jioni hadi saa 5 usiku *THE RIDE* na *DJ SEY DU & DJ YOUNG JESSE* (Soft oldies, zook , rumba, soca rumba) and more at Club Legends Sports...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Habari za jioni.. Naomba mnisaidie kupata wimbo wa kwaya ya Lutheran Kimara unaitwa katika njia ya injili mwenye nao VIDEO AU AUDIO aupakie hapa niuchukue.. nimeutafuta site zote naona sio clean...
2 Reactions
24 Replies
13K Views
Huu Uzi ni kwaajili ya kujadili timu yetu ya man city mnakaribishwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
894 Views
  • Closed
Msanii / Mwanamuziki anaadika wimbo / nyimbo kutokana na hisia / fikra ambazo anazo kutokana na kitu / vitu fulani. Kupitia muziki tumeona wasanii / wanamuziki wengi wakiongelea vitu ambavyo...
14 Reactions
25 Replies
8K Views
Mtunzi *NYEMO CHILONGANI* *ULINIUA GLORIA* *Sehemu ya 01* Kelele za shangwe zilikuwa zikisikika kutoka katika nyumba ya mzee Steven. Vigelegele kutoka kwa wakinamama vilikuwa miongoni mwa...
8 Reactions
55 Replies
8K Views
Kuna watoto wawili ambao wamekua pamoja na kujifunza muziki pamoja na wametoka pamoja huko DRC,mmoja yuko chini Koffi Olomide ambae kwa sasa ni kama mke wake akiitwa Cindy Le Coeur na mwingine...
3 Reactions
45 Replies
15K Views
Back
Top Bottom