Hichi kitu cha Kinubi kimegusa,wacha kabisa

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
23,251
2,000
Uongo mbaya Mwili umesisimuka iko siku nitatembelea huko
Na hichi kingine cha Kiamharic Kihabeshi.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,559
2,000
... Kitu kimetulia vizuri sana. Tatizo la majamaa ya kanda za huko wenzao hawakawii kuwaotea kwa nyuma na kuchinja shingo zao kwa sababu za kipumbavu; mosi, dini hairuhusu kuchezesha mwili hadharani; pili, hairuhusu kuchangamana jinsia mbili hadharani; tatu, hairuhusu kutumia ala; alimradi sababu za kipumbavu kwa mwamvuli wa dini.
 

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,277
2,000
Sudan Wengi ni Sufi.
Mkuu ni kweli dini hairuhusu hayo mambo uloyataja lakini hukumu yake mtu anayefanya hayo sio eti akatwe shingo.kuna baadhi ya hukmu zimewekwa kwamba mtu akifanya jambo fulani katika uislamu basi hukmu ni kifo,na sio tu kila kosa analofanya ati auwawe laaa.

Kama wapo wanaouwa kwa sababu hizo nadhani ni utashi wa nafsi zao kama ambavyo wapo wanaotumia katiba ya nchi vibaya.
 

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
7,952
2,000
True mimi ni mpinzani mkubwa wa Msimamo mkali katika dini yoyote!...tusizifanye Dini kuwa ni jela.ENJOY LIFE...mimi kuna nchi nimepanga nizitembelee hata kama mauti nafsi yangu iburudike.
Mwaka 2007 nilikanyaga ardhi Ethiopia, Egypt, Sudan huko Kuna Mambo mazuri ukiwa na pesa ya kufanya biashara utaishi Kama mfalme Sudan na Ethiopia TU
Egypt ni pagumu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,645
2,000
Frankly speaking nimekerwa na miguo ya kijani (nina mzio nayo)
Kila nikitazama video hii najikuta nazidi kuipenda na kuikubali "Ndombolo"
Namkumbuka "bilii" wa kanda bongoman!
Na wale wacheza shoo wa koffi Olomide!
Nijitoe ufahamu kuwasapoti Wanubi!!!!!!
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,559
2,000
Kitu kinginne hicho cha kusuuza Roho.
... Azam's Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) waende huko watuletee vitu vya maana kama walivyofanikisha filamu ya Sultan tusuuze roho zetu. Cheki nao uwape ushauri Mkuu.
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,398
2,000
Frankly speaking nimekerwa na miguo ya kijani (nina mzio nayo)
Kila nikitazama video hii najikuta nazidi kuipenda na kuikubali "Ndombolo"
Namkumbuka "bilii" wa kanda bongoman!
Na wale wacheza shoo wa koffi Olomide!
Nijitoe ufahamu kuwasapoti Wanubi!!!!!!
😅😅😅nina nguo 1 ya kijani (gauni)huwa nasisimkwa nikiivaa jaman
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom