TURN YOUR LIGHTS DOWN LOW: Wimbo bora wa mapenzi wa mda wote

jaykiwele

JF-Expert Member
May 22, 2013
552
413
Ukisikiliza hii nyimbo kuanzia mpangilio wa sauti, ala zake zilivyopigwa humo ndani,namna walivyokuwa wanapishana humo ndan Bob Marley na Lauryn Hill na namna mashairi yalivyopangiliwa humo ndani asee kwangu hii ndio nyimbo bora ya muda wote ya mapenzi. Hii ni nyimbo mahususi hasa kipindi hiki cha wapendanao maana inaamsha hisia za dhati.
Nyimbo mojawapo ya mapenzi ambayo mwanzo mpaka mwisho husikii tusi lolote ila inaamsha hisia.
Mnaonaje wadau upande wenu upi ndio wimbo bora wa mapenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsiri sasa wanaimba kitu gani
Wanaimba kuhus mapenzi watu wawili wapo kwenye mapenzi
Turn your lights down low
- punguza ukali wa mwanga(mwanga hafifu)
And pull your window curtains
- shusha pazia za madirisha
And let Jah moon come shining into our life again
- Ruhusu nuru ya mwez iangaze maisha yetu tena ( Jah ni Mungu)
I want to give you some love,some good good love
- nataka nikupe mapenzi, mapenzi mazuri (matamu)
It's been a long time
- imekuwa muda mrefu sana
Ooh I love you and I want you to know right now
- Nakupenda na nahitaj ujue hilo kwasasa

Nimejarib kidogo nadhan umepata mwanga kidogo

Asante mkuu
 
Turn Your Lights Down Low

Bob Marley, Lauryn Hill

Turn your lights down low
And pull your window curtains
Oh, let Jah moon come shining in
Into our life again
Sayin' ooh, it's been a long, long (long, long, long, long) time
I kept this message for you, girl
But it seems I was never on time
Still I wanna get through to you, girlie
On time, on time
I want to give you some love (good, good lovin')
I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')
Oh I, oh I, oh I
Say, I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')
Turn your lights down low
Never try to resist, oh no!
Oh, let my love come tumbling in
Into our life again
Sayin' ooh, I love ya!
And I want you to know right now
I love ya!
And I want you to know right now
'Cause I that I
I want to give you some love, oh-ooh
I want to give you some good, good lovin'
Oh, I I want to give you some love
Sayin' I want to give you some good, good lovin'
Turn your lights down low, wo-oh
Never never try to resist, oh no
Ooh, let my love ooh, let my love come tumbling in
Into our life again
Oh, I want to give you some good, good lovin' (good, good lovin')

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaimba kuhus mapenzi watu wawili wapo kwenye mapenzi
Turn your lights down low
- punguza ukali wa mwanga(mwanga hafifu)
And pull your window curtains
- shusha pazia za madirisha
And let Jah moon come shining into our life again
- Ruhusu nuru ya mwez iangaze maisha yetu tena ( Jah ni Mungu)
I want to give you some love,some good good love
- nataka nikupe mapenzi, mapenzi mazuri (matamu)
It's been a long time
- imekuwa muda mrefu sana
Ooh I love you and I want you to know right now
- Nakupenda na nahitaj ujue hilo kwasasa

Nimejarib kidogo nadhan umepata mwanga kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mashairi tumeshayaona, tunaomba utuwekee na wimbo wenyewe tuusikilize.

Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.
 
Back
Top Bottom