AZAM TV

AZAM TV

janae

Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
28
Reaction score
23
Tunalipia pesa nyingi ila tunaona channel chache,kwanini hamtaki kufanya utaratibu wa kuturudishia channel za nyumbani na pia muongeze channel za movie,music,wrestling badilikeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam tangu mumesitisha kuleta news tunateseka, hawa wakina ITV,TBC na CHANEL10 habari zao hazina mashiko, propaganda nyingi mnoo. Tafadhali tuwekeeni news tuchekelee 😁😁😊
 
Hivi kwani azam alipoanzisha programu zake alikuwa ajui sheria za nchi au ndio ilikuwa shamba LA bibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wakati wakuhamia digital kulikua za zabuni ya wadau wakurusha maadhui(wenye visimbuzi) ya nchini(local) na paytv kwahio walioshinda ni star times, digitek,ting na continental, pia sheria inataka vituo vya TV vyenye leseni ya nchi mtazamaji apate bure asilipie, kwahio visimbuzi vya kulipia havina ruksa kwa sasa zaidi ya TV ya taifa tu au wao waonyeshe Chanel za kulipia tu nilisikia hivyo kaka hebu tuelimishane kama nimekosea kwani nilisikia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom