Lucky Dube ana mziki mzuri kuliko Bob Marley.

Lucky Dube ana mziki mzuri kuliko Bob Marley.

Upo sahihi kabisa!Lakini ukweli unabaki kuwa bob marley ni mwalimu wa lucky dube!

Mwalimu wa Lucky Dube ni Peter Tosh, ameiga staili zake zote. Kama unaufahamu vizuri muziki wa Reggae utakubaliana na mimi. Na kizuri zaidi ni kwamba, Dube katika maisha yake ya uhai alisema wazi mtu pekee aliyemhamasisha kuingia kwenye Reggae ni Tosh na alikuwa akifuata nyao zake, kasoro tu ni kwamba yeye alikuwa akila nyama na havuti bangi!
 
Upo sahihi kabisa!Lakini ukweli unabaki kuwa bob marley ni mwalimu wa lucky dube!

Bob kweli ni mwalimu wa Dube! na Lucky Dube alikuwa mwanafunzi mzuri hakika, hebu sikiliza hiki kipande ([JFMP3]youtube:Big Boys Dont Cry by Lucky Dube[/JFMP3]
 
Mwalimu wa Lucky Dube ni Peter Tosh, ameiga staili zake zote. Kama unaufahamu vizuri muziki wa Reggae utakubaliana na mimi. Na kizuri zaidi ni kwamba, Dube katika maisha yake ya uhai alisema wazi mtu pekee aliyemhamasisha kuingia kwenye Reggae ni Tosh na alikuwa akifuata nyao zake, kasoro tu ni kwamba yeye alikuwa akila nyama na havuti bangi!

peter tosh over the top!!
 
Bob kweli ni mwalimu wa Dube! na Lucky Dube alikuwa mwanafunzi mzuri hakika, hebu sikiliza hiki kipande ([JFMP3]youtube:Big Boys Dont Cry by Lucky Dube[/JFMP3]

Siku zote mwanafunzi anafundishwa awe mwalimu mzuri wa baadae!

Hakika Lucky Dube alikuwa mwanafunzi mzuri wa Bob Marley!
 
Aisee true kabisa lucky dube is hot na mziki wke ni mtamu kwa beats na hata ujumbe nampenda sn lucky dube RIP
 
Kwa kusikiliza kweli mziki wa dube unavutia maskioni,ila ngoma za bob ni ujumbe kwa yeyote asikilizae,nawapenda wote ila kuna culture hua ananimaliza pia lol!kiujumla mziki wa ragae ni ujumbe,hakuna ragae isiyo na ujumbe!
 
ukipenda reggae na wanamuziki wake kuwalinganisha ni vigumu au unakua unakosea. kila wimbo wa reggae ni mzuri na ujumbe wa kutosha. Lucky dube mwanamuziki mzuri na nyimbo zake nzuri pia, bob kitambo kajulikana mzuri na ujumbe mahsusi
 
Tukiacha upenzi

Kila mmoja ana upekee wake ambao huwezi linganisha/fananaisha na mwenzie hata kwa chochote

Mfano Tupac na Biggie huwezi sema nani zaidi sababu kila mmoja ana kitu tofauti kimuziki ambacho mwenzake hana au kifupi naweza sema kila mmoja ana uwezo wake.
 
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.

Ni kweli kabisa mkuu Kula 5 nakubaliana na wewe 100%.
 
Mwalimu wa Lucky Dube ni Peter Tosh, ameiga staili zake zote. Kama unaufahamu vizuri muziki wa Reggae utakubaliana na mimi. Na kizuri zaidi ni kwamba, Dube katika maisha yake ya uhai alisema wazi mtu pekee aliyemhamasisha kuingia kwenye Reggae ni Tosh na alikuwa akifuata nyao zake, kasoro tu ni kwamba yeye alikuwa akila nyama na havuti bangi!
Kuna mdau hapa chini anasema kwamba hata Bob Marley alifundishwa na Peter Tosh,kwahiyo jamaa inaonekana kichwa
 
Watu wengi hawajui kwamba Peter Tosh amemfundisha hata Bob Marley Muziki baada ya Bob kurudi Marekani aliwakuta wenzake Bunny na Tosh wameshakuwa Marasta na wanapiga muziki aina ya SKA. Tosh akamfundisha gitaa na akamuunganisha Bob na Rita Marley.
Mwasisi hasa wa regge ni nani?
 
Thanks mkuu,maana hata ukisikiliza hata nyimbo za Dube zimekaa kihisia sana

Sure zinaujumbe ambao unakugusa hadi moyoni na yuko vizuri kuanzia midundo, sauti hata mashairi ikianza beat tu hata kabla hajaanza kuimba lazma uhamasike kusikiliza cjui kama kuna cku imewah pita sijasikiliza ngoma ya lucky dube cmu zote ringtone ni yy nabadili tu nyombo bt ni yeye daily hadi watu wananiita nkulee dude (binti yake) na ujumbe wake ni mambo ambayo yapo kila siku ukijaribu kufatilia mambo mengi yanayotokea ktk nyimbo zake amezungumzia ndio maana sometimes unaona kama hajafa tunaishi nae kupitia kazi alizoacha.
 
Back
Top Bottom