Africando

Africando

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,228
Kwa wale wapenzi wa salsa tukumbushane enzi za hawa jamaa.
 
Kwa wale wapenzi wa salsa tukumbushane enzi za hawa jamaa.Niko sehemu napata moja moto moja baridi huku nikisindikizwa na kibao murua "aminata"
 
Babu yangu anaikubali hii 'Gombo'
 
Jamaa ngoma zao zinatisha mnooo!! Mnanikumbusha wakati ule Radio One ikiwa Stereo kweli wadau!! Charles Hillary Mzee wa macharanga akijimix na Brother Zeno dah!!! nilijulia kucheza charanga miaka ile ya tisini ya kati!!!
 
dancing ya salsa ni uhondo mtupu!namkumbuka babu yangu tu!

Kweli na wachezaji wazuri wa Salsa, CHA CHA, merengue, rhumba etc ni wale old school... ila siku hizi kuna classes for those wishing to learn.Kama uko DSM basi tembelea na ujiandikishe 'Little Theatre".
 
nahisi wewe ni mnene unaweza steps?
 
Mie.. nawe mpaka milele.. mie.. nawe mpaka milele. jana na leo tutaonana....
 
Back
Top Bottom