Wimbo katika tamthilia ya Betrayal

Wimbo katika tamthilia ya Betrayal

lukwila

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
45
Reaction score
60
Kuna ile tamthilia ya betrayal ambayo huonyeshwa na azam two kila siku za j3 hadi ijumaa saa 3:30,kuna ule wimbo uliotumika mle ndani nimeupenda sana ila tatizo siujui wa nani....kama kuna mtu anaufahamu anisaidie!!
 
Jericho Rosales a.k.a Rino kijana mchapa kazi mme wake na Jade ndiye aliyeimba ule wimbo maana yeye ni Actor alafu ni Singer.
 
Back
Top Bottom