Wapi kumbi za Night Club, Jiji la Tanga

Wapi kumbi za Night Club, Jiji la Tanga

alexmahone

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
482
Reaction score
408
Nimefika jijini Tanga, ni siku nne sasa zimeshapita.Nimepambana na shughuli zilizonileta, na wiki endi hii nataka nikajichanganye na popo wenzangu kwenye Night clubs.
Wenyeji wa Tanga tafadhali nijulisheni Night clubs kabambe, jumamosi ya leo nikabanjuke..
 
☞Kuna Lavida rocka,
☞Nyinda
☞Club La casa chika
☞Nyumbani hotel kuna nite club na live band.

Anza na hizo kwanza
 
☞Kuna Lavida rocka,
☞Nyinda
☞Club La casa chika
☞Nyumbani hotel kuna nite club na live band.

Anza na hizo kwanza
One more observation, Tanga is HIV free anyway!..............................?????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
asante sana, barikiwa mpendwa Twilumba.Acha nikaanze na Nyumbani hotel, sa sita nitahamia La vida rocka..
 
asante sana, barikiwa mpendwa Twilumba.Acha nikaanze na Nyumbani hotel, sa sita nitahamia La vida rocka..
Kama wewe ni mzee wa Yale madini ya pale kona bar hapo lavida loca na chichi yapo sana pia kule majestic bar barabara yarn tano utayapata ila tanga full ustaarabu so hats ukikukuta yamefunikwa baibui na hijab usiogope kulizisa being yaweza kuyapata hata kwa bei ya mkaa
 
majistic hakuna malayer sku hizi ,aende chichi kule baharini,mi huwa nafikiaga ile hotel ya karibu na chichi pale wazungu wazungu wengi so atleast kuna ustaarabu, halafu ukiwa hapo tanga mjini nunua tiket ya tahmeed 16000 tsh ufike huku jijini mombasa,ni mwendo wa masaa manne
 
Burudaaaaani kabisa.!!vyombo tu vinagongwa hapa nyumbani Hotel.Daaaaah safi kabisa.Natamani ninyanyuke kwenye kiti maana naona kama hii mirindimo inamwagika chini.
Ila bado watu hawajawasili wengi,
Asante tena mkuu Twilumba
 
Aksante sana Maalim,nitakuja huko maana sina kawaida ya kukesha club moja.So manta hofu

kuna ni mgonjwa wa mapaka shume wa nyumbani ni wazuri unahonga bia za kutosha na mtu ukienda kulala nae ni kama ulikuja nae hana haraka na unakula kama mnajuana siku nyinghi,ilawa club nyengine hapo tanga ni pesa mbele na hcap chap
 
Kama wewe ni mzee wa Yale madini ya pale kona bar hapo lavida loca na chichi yapo sana pia kule majestic bar barabara yarn tano utayapata ila tanga full ustaarabu so hats ukikukuta yamefunikwa baibui na hijab usiogope kulizisa being yaweza kuyapata hata kwa bei ya mkaa

Dah sahihi kwa asilimia mia, machangu wavaa baibui na Hijabu nimewashuhudia live bila chenga.Bei ni elfu 8 na kwa elfu 10.
Tangaaaa ni balaaaaa.
 
Nami nataka kuja Tanga naomba mwongozo wapi nitapata watoto wazuuuri kabisa wale wa kiarabu arabu au shombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom