Kwanini Nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi EATV?

Musa Simon

Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
31
Reaction score
28
Jaman wapenzi watazamaji wa vyombo vya habari (TV), Ni kwa nini nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi kwenye EATV??. Kiukweli huwa nashindwa kuelewa. Hata kwenye vile vipindi vya "Top Ten na Bongo Hits" ambavyo kimsingi hugusa wasanii wengi wakali sijaona. Tatizo nini au anakosea wapi??

Majibu Tafadhali!
 
Zinapigwa Capital Radio na Radio one hawa ni ndugu na huyo EATV/ EA radio
 
Huu ni mwaka wa 3 au 4 nyimbo hazipigwi..ww ndo umejua leo!??
Jaman wapenzi watazamaji wa vyombo vya habari (TV), Ni kwa nini nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi kwenye EATV??. Kiukweli huwa nashindwa kuelewa. Hata kwenye vile vipindi vya "Top Ten na Bongo Hits" ambavyo kimsingi hugusa wasanii wengi wakali sijaona. Tatizo nini au anakosea wapi??

Majibu Tafadhali!
 
Jaman wapenzi watazamaji wa vyombo vya habari (TV), Ni kwa nini nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi kwenye EATV??. Kiukweli huwa nashindwa kuelewa. Hata kwenye vile vipindi vya "Top Ten na Bongo Hits" ambavyo kimsingi hugusa wasanii wengi wakali sijaona. Tatizo nini au anakosea wapi??

Majibu Tafadhali!
Ushindani
 
Juliana shonza anajua.
 
Zina impact gani kijamii kwamba zisipopigwa kuna funzo jamii inakua imekosa??
 
Watanzania ni watu wa hovyo(sio wote). Siku za nyuma walilalamika kwa nini nyimbo za Tz hazipigwi kama za Kongo na Amerika.Vijana wamepigana kuinua mziki na kwenda sawa na wakongo wanahoji kwa nini Diamond hashuki kimziki.Mnataka diamond ashuke ili mpande nyie,NYAU NYIE.MTU mweusi ana roho ya kwa nini.Haoni raha kumuona mwenzie yupo juu ataenda makaburi kuloga ili amshushe,acheni wivu fanyeni kazi.
 
WCB wanaziara ngefu ningependekeza wafanye harambee wakodi ndege ya atcl hasa safari za west africa
 
Jaman wapenzi watazamaji wa vyombo vya habari (TV), Ni kwa nini nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi kwenye EATV??. Kiukweli huwa nashindwa kuelewa. Hata kwenye vile vipindi vya "Top Ten na Bongo Hits" ambavyo kimsingi hugusa wasanii wengi wakali sijaona. Tatizo nini au anakosea wapi??

Majibu Tafadhali!
Paka mate niteleze kama nyoka pangoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna ugomvi kati ya watangazaji wa eatv...dulla,sam misago na diamond
Wanasema aliwadharau akiitwa kwenye interview haendi na kashakubali kabisa
sasa mbona Sam anapost kuhusu Diamond kwenye pages zake
 
Back
Top Bottom