Katika series ambayo muhusika mkuu

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
671
Ama main character aliyetumia akili sana kwenye series ni MICHAEL SCOLFIELD jamaa alicheza vizuri sana series hii ila hata kwa ujumla mtuzi wa hii series alitumia akili kubwa sana achana na haya ma-series wanayovaa mashuka kama viking na game of thrones.

Hii Prison Break ni series ambayo ilitungwa kwa ustadi mkubwa sana hata kuanzia wahusika. Maeneo yaliyofanyika hii series ni hatari.

Hebu vuta picha Scolfield na Lincoln Burrow walipokuwa kwenye gereza la Fox River, pia hebu vuta picha Scolfied alipokuwa gereza la Sona.

To me this is my favorite series ever na ninaisubiri kwa hamu sana season 6. nasikia imeshaanza kuandikwa
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    7.5 KB · Views: 30
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    7.1 KB · Views: 28
  • images.jpeg
    images.jpeg
    8.8 KB · Views: 28
Naikubali sana hii series.
But kwangu the best series ambayo wakubwa walitumia akili saaana tena saanai ni TWIN PEAKS. Hapa malegend david lynch na mark frost walituliza akili kupitiliza.
Jinsi ya kuiangalia,
- unaanza s1 ya 1990,-
then s2 ya 1991,
-then utaangalia movie (sio series) inaitwa Twin Peaks-Fire walk with me,
-Baada ya hapo utaruka mpaka mwaka 2017, s3-Twin peaks-the return (hapa waliruka miaka 25 kiukweli km plot ndani ya series ilvyokua,hawakufanya ujanja wa makeup)
Ukimaliza zote hizi lazima akili itulie,
95% ya watu nliowaambia waichek wanasema wanasema ad mwshoni wanakua wameelewa only 50% ya storyline ila wanashangaa iko addictive saana wanashindwa kuibwaga njiani..
This is the best series ever to me.
Btw inafaa kwa kujipima IQ hii series na uelewa wako binafsi wa mambo
 
nitaicheki mkuu
 
Mkuu umeona series unaitwa LOST ya mwaka 2004..?
Ni kali pia inatumia akili kubwa kubwa
 
Ndio mkuu lost naijua nliangalia episode zoooote,
Tho baadae ikawa ya kipuuzi kwa kuweka story za kijinga sjui ndo kujazia jazia episode,tho bado saana kuifikia hio twin peak.
 
Ilkua nivyakipuuzi mpka ilipofika episode ya mwisho ndo nkaelewa hakukua naupuuzi mule
 
sisiyo kweli aiseee. kama unabisha tafuta sources
Unabishia nini na wakati alijitangaza yeye mwenyewe. Na kuna scene moja ipo kwenye the flash hivi, anakulana mate na me mwenzie. Kifupi huyo jamaa yako ni shati tu golini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom