Fursa ya waandishi na wasomaji

Fursa ya waandishi na wasomaji

benny gilbert

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
110
Reaction score
65
Habari members, kwenye pitapita mtandaoni nimekupta na website ya kusoma hadithi na kuingiza pesa kwa shirikisha watu kujiunga na kupata sh 1200 kwa kila anayejiunga na kulipia sh 3000 kwa siku 30 ya kusoma hadithi bila kikomo.

Wadau kama wewe ni mwandishi na una vitabu vyako vya hadithi au unaandika hadithi nenda kajisajili na kuanza kuuza vitabu vyako na kuingiza pesa. Pia kama mpenzi wa hadithi nenda kajisali na uwanze kuingiza pesa kwa kushirikisha wadau wa hadithi.

website inaitwa storika unaweza gogle na kujisajili.

Nimona niwape hiyo fursa wadau .
 
Back
Top Bottom