Bonge 1 la picha..mwanzo mwisho mkonoAngali Broken Path...
Angalia Tanzania Safari ChannelMimi napenda zile za porini
Nadhani unatania right? ? Avanger za watoto??Miaka hii hakuna movie za mkono mwanzo mwisho ila kuna movie za kijinga jinga tu kwa ajili ya watoto/wakina dada, ma choko etc ndo zimejaa sokoni sijui avengers,lion king,spiderman etc.
Movie zile za kiume tuliangaliaga wahenga miaka hio.