Neymar ndani ya season "Money Heist"

Neymar ndani ya season "Money Heist"

Ryan Herman

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
42
Reaction score
46
Mchezaji wa PSG na taifa la Brazil atakuwepo kwenye series ya Kihispania ijulikano Kama 'La casa de papel' au (Money Heist)

Ikiwa bado kuna mazungumzo ya kumhamisha Neymar kutoka PSG kurudi katika klabu yake zamani Barcelona, taarifa zinasema kuwa mchezaji huyo amethibitsha kushiriki katika series hiyo nzuri inayofatiliwa na watazamaji wengi

Kuonekana kwa Neymar katika season inayofuata itapelekea wapenzi wa Money Heist kuwa wengi na kupata shauku yakujua ni nafasi gani atakayoicheza na nini atakifanya zaidi kulingana na mwendelezo wa series hiyo nzuri iliyotoa season ya 3 July 19 2019
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom