Mwandishi: RM the brave
faili namba 25
01
Hisia za kukumbatiwa na mtu pale kitandani zilinigutusha toka kwenye usingizi mzito,nilijigeuza kivivu na kukutana uso kwa uso na mpenzi wangu wa siku...
Habari wakuu
Kuna bongo fleva ya kitambo kidogo ilikua na maneno yasemayo
Fanani siku nikifa njooni wote,mnaonipenda msionipenda njooni wote×2
Mwenye anaeweza kuwa na hiyo nyimbo aipandishe...
Sio mbaya tujikumbushe enzi zetu sisi wahenga, nikijalibu kuangalia miserebuko na mapigo ya siku hizi za kalibuni tofauti ni kubwa sana, enzi zetu binti ilikuwa akivaa moka za kiume hata...
Mtunzi:Erick Shigongo
Mawingu yalikuwa yametanda katika anga lote la jiji la Dar es Salaam, haikuwa kawaida kwani jiji hilo lilisifika kwa joto kali. Manyunyu ya mvua yalikuwa yakidondoka...
KURUDI KWA MOZA :1
Moza alikuwa msichana mrembo ila aliishi maisha ya shida na kumfanya ajaribu kufanya kazi za ndani, na kwa bahati akapata kazi kwenye nyumba ya mama mmoja tajiri, aliyejulikana...
Kwa wapenzi wote wa epl, tukuje hapa, hii ni thread yetu maalum kwa ajili ya kujua timu zetu tunazo shabikia, madhaifu ya kila timu na utani kwa wingi
Napenda tusiusishe matusi wala majina ya...
SEHEMU YA 01:
Mama alikaa uani akiosha vyombo. Aliponiangalia nikitoka chumbani kwangu aliacha kuosha, akaonesha dalili za kuzubaa huku akinikazia macho na kuniuliza…
“We Tina una nini… mbona...
Mobile Service, ya Movies na Series kali kabisa. Huduma inakujia mpaka Mlangoni kwako.
Unachotakiwa kufanya ni kupiga namba hizi :-
+255627929637 / +255747246894.
HUDUMA ITAKUFWATA ULIPO...
Jina halisi la filamu ni “Adventure of Tarzan”. Washiriki wakuu katika filamu hii ni Hemant Birje (Tarzan) na Kimi Katkar (Rubi). Mtunzi na muongoaji wa filamu hii anaitwa Babbar Subash...
Habari za usiku bandugu, poleni na majukumu ya kila siku na changamoto za hapa na pale, kikubwa uzima tu na kumshukuru Jah!
Turudi kwenye title ya uzi hapo juu, hiyo ngoma iko na ujumbe wa...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nautafuta wimbo wa mwanamuziki TONY CURTIS unaitwa BOOM SHE BOOM.
Naomba yeyote alienao anipe link yake ya mp3 au auweke hapa kwenye huu uzi.
Naomba...
Game Loading...
Welcome to PS...
Wait...
______________________________
Wakuu sina maneno mengi ila kama wewe ni mdau wa hii kitu tukutane hapa.
Binafsi naiwaza CALL of DUTY 'Modern' nasikia...
Mara yako ya kwanza Kuangalia video za utupu, ulifundishwa na nani?.
Mimi safari yangu ya kuziangalia Nilikuwa na kijiwe naweka miziki kwenye Simu, Nilianza Kuziona kwenye Memory card za wateja...
Jamani nimeleta thread hii tujuzane, kukumbushana na kusaidiana kupata nyimbo mbalimbali za kikongo(BOLINGO, NDOMBOLO, MAYENU SOUKOUS, ZOUK n.k.). Pia kupata habari za wasanii wa congo wapi walipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.