Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

Kuhusu mechi ya Chelsea vs Ajax

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
663
Wachambuzi wa Soka Barani Ulaya wanasema hii comeback ambayo leo hii hawa vijana wa Lampard wameifanya toka 4-1 mpk 4-4 inaweza ikawa ndio comeback bora kabsa kuweza kutokea ktk kipindi hichi cha kizazi cha wahuni wengi na wanadai hii comeback inaweza isifanywe na team yoyote ile Barani Ulaya na Dunian kwa ujumla kwa zaid ya miaka 1000.

Na wakaenda mbali zaidi wakidai hii comeback imewakumbusha ile comeback ambayo ilifanywa na LIVERPOOL dhidi ya Ac Milan katika final za Uefa kipindi Liverpool ipo LIVERPOOL kweli achana na hii Liverpool ya leo iliyojaa mashoga wanaofungwa na Samatta.

So hao wachambuzi hawakuishia hapo wakadai kuwa Gardiola, klopp, Unai, Ole Sendeka, Puchetno, Zidane, Conte, Sarri, Ancelotti na wengneo wengi sio vibaya kama wataenda kwa Lampard ili kwenda kupata darasa kidogo na itabidi wakubali ama wakatae lakini ukweli ni kwamba hao makocha watajwa hapo juu zao zimepita na sasa ni zamu ya Super Frankie Lampard.

Vilevile, wakasema kuwa endapo nyumbu atakuja kufanya comeback kama hii bai mchezo wa soka ndio itakuwa mwisho wake hapa duniani.

MSISAHAU KUWA LEO HII SAMATTA KALA MGUU MMOJA WA LILE TETEA LA KIJIJI CHETU NI FURAHA ILIYOJE KWA WATANZANIA.


#VIVACHELSEA
FB_IMG_15729938445931147.jpeg
 
Manyuu wanaweza kupiga come bak kama hiyo?
 
Comeback ya kitoto kabisa hiyo,ushaisahau come back ya Liverpool vs barcelona last season?
 
Wachambuzi wengi wa michezo ni zero kabisa. Kabla sijasoma mengi nimekutana na neno "kuusu" na neno balani. Nikamdharau mleta mada na sikuendelea kusoma
 
come back yenyewe kuna red card mbili juu
Sio kwamba pressure waliyopewa ndio iliyopelekea wakafanya fouls zilizopelekea red card's?
Watu wanapokuwa wanalisakama lango la adui hayo ndio hutokea ili mradi matokeo yapatikane,either penalty au cards.
Kwaio ilikuwa ni perfect comeback from the blues.
Ajax ilikuwa wafe kabisa.
 
Back
Top Bottom