Samatta ashangilia kwa style yake

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
3,525
3,649
Mchezaji wa zamani wa Simba SC na pia mchezaji wa Genk jana alifanikiwa kuifungia bao pekee la timu yake dhidi ya liverpool ya akina salah, mane van djik, firminho, clopp etc.

Mchezaji huyo alionyesha alama ya S akimaanisha Simba SC baada ya kufunga bao hilo. Baada ya mechi kuisha alihojiwa kwa lugha ya kiingereza kwanini alionyesha alama ya S. Ndipo alopoanza kuimwagia sifa simba sc club ambayo ndio imemfikisha hapo alipo.
 
Back
Top Bottom