Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
p7937523_p_v7_ad.jpg


Jina la Movie: SALT


Main Actress: Angelina Jolie

Evalyne Salt (Highly Trained) A Russian spy working as CIA. Akiwa na Mission (DAY X) ya kufake kumuua Rais wa russia atakapokuja kuhudhulia mazishi ya makamu wa rais wa marekani. Hii inapelekea muendelezo wa matukio ya ujasusi na uvamizi wa hali ya juu.

Anapogundulika na mpambano unaofuata na kumbe kama yeye wako wengi sana CIA.

Kwa ufupi katika Picha..
18628.jpg

600px-Salt_347.jpg


1. Akiwa CIA akipeleleza North Korea anagundulika na kuteswa sana. Hapa anaachiwa kwa marekani kubadlishana wafungwa na korea kaskazini.

VIMt1Y4SkCZaQO_1_hd.jpg


2.Miaka miwili baadae akiwa ofisini anamuhoji Jasusi la kirusi (alikuja kujua ni trainer wake akiwa mtoto). Huyu mzee anafunguka mission nzima ya DAY X, Hukua anajua anasikilizwa na watu wengine. Mwisho anamtaja yeye anayemhoji ndio jasusi wa kirusi KA 12 atakayefanya hayo mauaji.

salt-2.jpg

3641_1.jpg

Angelina+Jolie+Filming+Salt+NYC+x3u_QI4Y0WJl.jpg


3. CIA wanathibitisha huyo mzee hadanganyi. wanataka kumkamata salt anatoroka kwa mbinu za hali ya juu na kutokomea mtaani.

Huyo mzee nae anawaua waliokuwa wanamlinda anatokomea na yeye pasipojulikana.


tumblr_nh38edFOvQ1u2p6mro1_500.gif


4. Siku Inafika wakiwa katika mazishi ya makamu wa raisi wa marekani, RAisi wa russia anapigwa risasi na huyu dada na anashidwa kutoroka anakamatwa ila anawatoroka tena na kwenda kwenye maficho ya makomredi wa kirusi tayari kwa kupewa mission ya kuingia white house.

Risasi ilikuwa feki rais wa urusi anaonekana kwenye media Moscow.

14157_6-e1445456757977.jpg

600px-Salt_309.jpg


4. Wanaingia white house akiwa na komrade mwenzake wakiwa wamejibadili sura na wanakwenda kama ujumbe maalumu wa NATO. Mwenzake akiwa na amevaa mabomu (non detected by metal detectors) anajilipua ilikumuua rais wa US lakini walinzi wanauokoa rais. Salt anabaki kumalizia hiyo mission.

salt-cast-LA-7-22-10.jpg

Salt_2010_Blu_Ray_720p_DTS_x264_3_Li_01_24_10_000.jpg

600px-salt-sig1.jpg


Wakiwa ndani kabisa ya chumba cha usalama alikofichwa raisi ili asiuwawe na Salt. Kumbe CIA top Agent WInter nae Ni Jasusi wa kirusi. Anawauwa walinzi wote wa raisi. anachukua finger print ya rais anataka kurusha mabimu ya nyukria MACCA na uarabuni, ili dunia nzima iilaani marekani.

Salt anafika, anashangaa kumkuta kumbe boss wake pia ni KA ila alikuwa hajamuambia. Wanatofautiana na Salt anafanikiwa kuzuia hilo shambulio la uarabuni.

article-1305305-0AE18695000005DC-553_468x430.jpg

article-1241148-07C5AC45000005DC-57_468x577.jpg

vlcsnap2012042916h45m28.jpg


Mwisho wanavamiwa na Walinzi wengine wa Rais, Walter ananyongwa kwa pingu kwa kustukizwa na Salt katikati ya ulinzi mkali.

Salt akiwa anashikiliwa na wajeshi wa kimarekani anafanikwa kutoroka kwa kuruka kutoka kwenye herikpter hadi baharini. Na inaisha akikimbia Porini.
 
Who is salt ??
Nimeshindwa kuelewa salt amefanya kazi kwa maslahi ya urusi au marekani

kila nikirudia pale mwisho pananichanganya.

Salt ni nani ??
kwa nini aliachiwa ??

Wazungu nuksi sana
 
Who is salt ??
Nimeshindwa kuelewa salt amefanya kazi kwa maslahi ya urusi au marekani

kila nikirudia pale mwisho pananichanganya.

Salt ni nani ??
kwa nini aliachiwa ??

Wazungu nuksi sana
Salt ni Jina la Muhusika mkuu ndio imebeba jina la Movie. Evalyne Salt/(Angelina Jolie real name)

Ni comredi wakirusi aliyeingizwa marekani bila wao kujua. Aliingizwa marekani kwa ajili ya mission maalumu DAY X tangu akiwa mtoto.
Siku ambayo rais wa urusi ataitembelea marekani wajifanye wanamuua.

Akiwa kama agent wa Marekani akimuhoji jasusi wa kirusi (alikamatwa) kumbe huyo mzee ndio top trainer wake. NA anashangaa kwa nini kaolewa kinyume na principle zao.

Mzee huku akirekodiwa/ akisikilizwa na wengine anafunguka mpango huo wote, na anamtaja kuwa yeye anayemuhoji ndie mtu aliyetumwa kutimiza hiyo mission na urusi. Hapo ndipo jamaa wanagundua huyo dada sio mtu wa kawaida jap wako nae miaka yote. Cha ajabu kumbe miongoni mwa viongozi wa kikosi cha kumkamata huyo dada na yeye ni Mrusi/spy anamfahamu salt lakini hakumwambia.

Movie inaishia katikati ya WHitehouse ambao unatokea mpambano wa hatari.
Kama Mrusi aliweza kuingia hadi chumba cha siri sana white house bila kujulikana kama ni mpelelezi na humo ndio anawageuka.

nafikiri umepata kidogo pa kuanzia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom