Ukweli ni kwamba Clouds Media na project zao matumbo yanawaka moto na vichwa kuwauma kwa ujio wa Wasafi Media

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
810
Points
1,000

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
810 1,000
Wakuu amani iwe pamoja nanyi!!

I hope wote tuwazima wa afya tele!!

Kama heading inavyojieleza hapo juu
Tanzania imejaariwa kuwa na media nyingi sana,na kuna baadhi ya media house zili-dominate katika kipindi fulani.

Mfano kipindi hicho sahara media group,Ipp media na Tbc enzi hizo,
Media House hizo ziliishika Tanzania kwa nyakati hizo,kulingana na mahitaji ya wasikilizaji(aina ya wasikilizaji ikizingatiwa.

Baadae zikaja media nyingine kama Cloud's fm ambayo imejijenga vyema kwa kipindi cha miaka 20 na kufanikiwa ku-cover tz yote na kudominate,na hata kuanza kufungua branches abroad mf Rwanda.

Kwa muda sasa Cloud's imetawala on top kama Super brand,na wanastahili hio heshima maana wamepigana sana kufika hapo,tofauti na media nyingine za zamani zilizoanza na mitaji mikubwa.

Na ili media itawale kwa kipindi fulani inategemeana na Aina ya wasikilizaji,mahitaji ya jamii hiyo kwa wakati huo,ubora,ubunifu,kujituma na kuipenda kazi zao kwa upande wa watangazaji,ikiwepo maslahi bora,uwekezaji mzuri upande wa facilities mfano,technology ,studio nk.

Sasa Cloud's wanadominate lakini mpaka sasa alarm kwenye vichwa vyao inawafanya wapagawe kwa kasi ya ukuaji wa wasafi media,maana ikiwa bado wasafi media hasa redio haijacover tz nzima lakini ni radio au media inayozungumziwa sana hapa bongo sambamba na clouds.

Wasafi media imetake over social media hapa bongo pamoja na ndugu zao wa wcb wasafi na si social media tu hata you tube ndio media yenye subscribers wengi hapa tz ikiziacha nyingine mbali ,na hata mwaka haijamaliza,je ikifikisha miaka 3 na kucover atleast nusu ya tz itakuwaje?

Ni kweli hata E-fm walianza nao kwa speed lakini hawakufikia hapa walipo wasafi na hata mikoani walikuwa hawajulikani kabla ya kulaunch masafa yao,lakini wasafi vijana wengi wana-wish iwafikie mkoani kwao mapema.

Ukija upande wa matamasha ya burudani,Efm walijaribu kuwachallenge Cloud's wameshindwa na saizi naona wameungana na clouds,ila naona wasafi wako serious na utaona ndani ya muda mfupi washafanikiwa kuwaumiza vichwa Cloud's fm,na wasafi festival ndio tamasha ambalo limekuwa na sponsor's wengi hapa tz kwa mwaka wa pili mfululizo,hiyo ina maanisha ni brand inayokubalika kwa watu.

Na kwasasa Wasanii hawana tena pressure ya kusubiri fiesta tu au kuwanyenyekea Cloud's tu naona hilo linaenda kuisha na unaweza kuona wasafi festival dar es salaam,list ya wasanii ni kama haijaacha msanii,maana karibu wasanii wote wako kwenye list,hii inafanya fiesta itakapofanyika dar es salaam either watafute wasanii wengine au wawarudie watakaoperform wasafi festival,(na naona wanazidi kupunguza entrance fee kwenye show zao kutoka 10000 hadi 5000?),jambo ambalo linaweza kupunguza mvuto wa tamasha lao na hili linawatisha.

Naamini baada ya miaka 5 endapo wasafi festival,media na wcb wakiwa bado wana trend na clouds kubaki na pace hii ya sasa ya kurukiarukia vitu Mfano,harmonize issue basi Cloud's wajiandae kuachia nafasi pale juu,maana now ndio kwanza ngoma mbichi na wasafi haijaanza kufika mikoani hila uko social media speed yao ni 120 na youtube washapiga bao.

Upande wa Wasafi TV nadhani iko wazi kuwa now ndio channel pendwa kwa vijana wengi,ukitembelea sehemu nyingi na hata maeneo ya starehe jamaa wanatawala,na sasa wanapatikana katika ving'amuzi vyote ikiwepo dstv across Africa.

Mimi kama mdau wa burudani na competition nimetulia tuli najihesabia point katika hii fight then nitakuwa nakuja na matokeo kila baada ya round.
 
Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
10,204
Points
2,000

Chinga One

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
10,204 2,000

hivi nyie vijana kesho si mnaanza mitihani nyie ya fm4 mnasoma saa ngapi?
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Messages
3,347
Points
2,000

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2011
3,347 2,000

Riziki mafungu 7 wewe,na riziki full kumanyati,pamoja na wimbi la ukosefu wa ajira lakini mtoto ambaye aliyeko form 1 sasa atasoma atamaliza chuo na atakuja kupata kazi katika haya haya mazingira magumu ya ajira,nataka kusema nini? kila mtu ana fungu lake,clouds fiesta haiwezi kufa kwasababu ya wasafi,kila tamasha litajichotea "posheni" yake,ndio maana ITV ilianzishwa miaka hiyo ya 1994 lakini bado ipo pamoja na kuongezeka na machannel kama yote ya TV....usijeshangaa wasafi ikafa mapema na kuiacha clouds.
 
joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
4,102
Points
2,000

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
4,102 2,000
Clouds ni taasisi kubwa sana na washajiwekea mihimili ya kushikilia redio yao.

Wasafi kweli wanafanya vizuri na wana mwanzo mzuri ,ila katika maisha kuwa number 1 ni rahisi sana,kazi ni kumaintain number 1 kila siku na clouds wamejitahidi kumantain,Wasafi wana mengi ya kujifunza kwa Clouds.
 
Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,874
Points
2,000

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,874 2,000
Hiyo ni kweli ndio maana clouds hawapigi nyimbo za wcb,na ndio sababu kondeboy kaamua kusepa I'll nyimbo zake zipigwe clouds maana baada ya kuondoka wcb faster clouds wakamuita fiesta, na chanzo cha penseli ya kiba kupotea yote ni beef kati ya hizi media mbili,hawa underground wanababaika sana na clouds.
 
gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
580
Points
1,000

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
580 1,000

Na wasnii wote wa kizazi kipya wamepitia kwenye mikono ya clouds na kiasi Fulani mafanikio yao yamechangiwa na clouds na juhudi zao binafsi pia hata huyo diamond mwenyewe kwa Mara ya kwanza alipoanza mziku breki ya kwanza clouds
 
Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,874
Points
2,000

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,874 2,000
Na wasnii wote wa kizazi kipya wamepitia kwenye mikono ya clouds na kiasi Fulani mafanikio yao yamechangiwa na clouds na juhudi zao binafsi pia hata huyo diamond mwenyewe kwa Mara ya kwanza alipoanza mziku breki ya kwanza clouds
Shida jasiri muongoza njiaa alikuwa anawalipa mil..5 na ukigoma hawapigi tena nyimbo zako mfano ruby, jide, mond, dudu na wengine ambao clouds ilisha watema ingawa ruby ameomba msamahaa
 
gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
580
Points
1,000

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
580 1,000
Shida jasiri muongoza njiaa alikuwa anawalipa mil..5 na ukigoma hawapigi tena nyimbo zako mfano ruby, jide, mond, dudu na wengine ambao clouds ilisha watema ingawa ruby ameomba msamahaa
Hiyo milion5 ni kwa show moja? Ruby kwa kipindi kile hakustahili kugoma kwanini? Kwasababu kwanza hakuwa na jina kubwa pili yeye ndio alikuwa anaihitaji fiesta kuliko fiesta inavyomhitaji yeye tatu hao clouds wao ndio waliomtoa na nyimbo zote walimuandikia kuhusu dudubaya huyu jamaa ni mpumbavu na kimziki alishapoteaga kitambo pamoja na hayo yote bado clouds walimlipa na hata km wangemlipa laki1 hakutakiwa kulalamika coz kwenye game alishapotea baada baada ya kuona hapati show clouds kwasababu alikuwa hana jipya akaanza kuwatukana
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
8,731
Points
2,000

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
8,731 2,000
Wakuu amani iwe pamoja nanyi!!

I hope wote tuwazima wa afya tele!!

Kama heading inavyojieleza hapo juu
Tanzania imejaariwa kuwa na media nyingi sana,na kuna baadhi ya media house zili-dominate katika kipindi fulani.

Mfano kipindi hicho sahara media group,Ipp media na Tbc enzi hizo,
Media House hizo ziliishika Tanzania kwa nyakati hizo,kulingana na mahitaji ya wasikilizaji(aina ya wasikilizaji ikizingatiwa.

Baadae zikaja media nyingine kama Cloud's fm ambayo imejijenga vyema kwa kipindi cha miaka 20 na kufanikiwa ku-cover tz yote na kudominate,na hata kuanza kufungua branches abroad mf Rwanda.

Kwa muda sasa Cloud's imetawala on top kama Super brand,na wanastahili hio heshima maana wamepigana sana kufika hapo,tofauti na media nyingine za zamani zilizoanza na mitaji mikubwa.

Na ili media itawale kwa kipindi fulani inategemeana na Aina ya wasikilizaji,mahitaji ya jamii hiyo kwa wakati huo,ubora,ubunifu,kujituma na kuipenda kazi zao kwa upande wa watangazaji,ikiwepo maslahi bora,uwekezaji mzuri upande wa facilities mfano,technology ,studio nk.

Sasa Cloud's wanadominate lakini mpaka sasa alarm kwenye vichwa vyao inawafanya wapagawe kwa kasi ya ukuaji wa wasafi media,maana ikiwa bado wasafi media hasa redio haijacover tz nzima lakini ni radio au media inayozungumziwa sana hapa bongo sambamba na clouds.

Wasafi media imetake over social media hapa bongo pamoja na ndugu zao wa wcb wasafi na si social media tu hata you tube ndio media yenye subscribers wengi hapa tz ikiziacha nyingine mbali ,na hata mwaka haijamaliza,je ikifikisha miaka 3 na kucover atleast nusu ya tz itakuwaje?

Ni kweli hata E-fm walianza nao kwa speed lakini hawakufikia hapa walipo wasafi na hata mikoani walikuwa hawajulikani kabla ya kulaunch masafa yao,lakini wasafi vijana wengi wana-wish iwafikie mkoani kwao mapema.

Ukija upande wa matamasha ya burudani,Efm walijaribu kuwachallenge Cloud's wameshindwa na saizi naona wameungana na clouds,ila naona wasafi wako serious na utaona ndani ya muda mfupi washafanikiwa kuwaumiza vichwa Cloud's fm,na wasafi festival ndio tamasha ambalo limekuwa na sponsor's wengi hapa tz kwa mwaka wa pili mfululizo,hiyo ina maanisha ni brand inayokubalika kwa watu.

Na kwasasa Wasanii hawana tena pressure ya kusubiri fiesta tu au kuwanyenyekea Cloud's tu naona hilo linaenda kuisha na unaweza kuona wasafi festival dar es salaam,list ya wasanii ni kama haijaacha msanii,maana karibu wasanii wote wako kwenye list,hii inafanya fiesta itakapofanyika dar es salaam either watafute wasanii wengine au wawarudie watakaoperform wasafi festival,(na naona wanazidi kupunguza entrance fee kwenye show zao kutoka 10000 hadi 5000?),jambo ambalo linaweza kupunguza mvuto wa tamasha lao na hili linawatisha.

Naamini baada ya miaka 5 endapo wasafi festival,media na wcb wakiwa bado wana trend na clouds kubaki na pace hii ya sasa ya kurukiarukia vitu Mfano,harmonize issue basi Cloud's wajiandae kuachia nafasi pale juu,maana now ndio kwanza ngoma mbichi na wasafi haijaanza kufika mikoani hila uko social media speed yao ni 120 na youtube washapiga bao.

Upande wa Wasafi TV nadhani iko wazi kuwa now ndio channel pendwa kwa vijana wengi,ukitembelea sehemu nyingi na hata maeneo ya starehe jamaa wanatawala,na sasa wanapatikana katika ving'amuzi vyote ikiwepo dstv across Africa.

Mimi kama mdau wa burudani na competition nimetulia tuli najihesabia point katika hii fight then nitakuwa nakuja na matokeo kila baada ya round.
visima vingi lakini Maji ni yale yale
 
Forum statistics

Threads 1,382,593
Members 526,405
Posts 33,831,954
Top