'Yo pe by innos' maana ya mashairi

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,135
2,010
O timbi na timbeli yo!Ukiniheshimu ntakuheshimu
Yuma no kaka ts ( INNNOSS)Mpuuzi wako ( innos)
Zoba no kaka tsUjinga wako
Hein yuma no kaka tsKwa ujinga uliopitiliza
Djizo!djizo
O telemi no na coinUmesimama kwa kona
O Sali no eloko teeeUfanyi kazi kabisa
O toki no kutu teeeUtokwi jasho kabisa
Na pete kaka bongo yo pe ba pesa yoLakini wataka watu wakupe pesa
Yo pe ba pesa yoUnataka watu wakupe na wewe pia
La reine lionne bmMalkia lione bm
X2
La pacificateur jusqu au bout vital kamerheVital kamere mpatanishi
Yuma no kaka tsKwa upuuzi
Zoba no kaka tsKwa ujinga
X 2
OLK initiative plusOLK mwanzilishi mkubwa
Toza ko liatunakula
Toza ko melatunakunywa
To ye programmeTunapanga mipango
Yo pe ba pesa yoUnataka watu wakupe pia
X2
Philosopher bahatiPhilosopher bahati
Ba parent ba yebi yo kutu tee eeWazazi hata hawakujui
Ba mona yo nanu teeeHawajawahi kukuona
Okuti Cherie na rond pointUmepata manzi roundabout
Ekomi ako reclameUnaanza kulalamika
Yo pe ba pesa yo
Yo pe ba pesa yo
Solomon ben salumu
Hum yuma no kakaKaa na upuuzi wako mwenyewe
Zoba no kaka ts
Yuma no kaka ts
Hee zoba no kaka ts
James mobwano I home idealJames mobwano mutu sahihi
L architecte intelligent jonathan mutambala Gauthier mascotArchitect mwenye akili …….
O bandi boulot na dix heuresUnaana kazi saa nne asubuhi
Olembi no na douze heureeeeUmechoka mchana
Tala baninga ba continueeeeWenzako wanapiga mzigo mpaka jion
Na sima tango salaireThen after ukifika mda ya pesa
Yo pe ba futa yo ( po yo nani)Uantaka mshahara sawa ( wewe ni nani)
Na quartier oyebabi kutu teeHawakujui unapokaa
O sololaka kilo ooHuongei na watu
Na loyenge kaka bongoKwenye nyinmbo
Yo pe bwaka yoUnataka utwajwe
Po yo nani?We nani
Yo pe bwaka yo
Yuma no kaka ts
Zoba no kaka ts
Yuma no kaka ts
Zoba no kaka ts
Excekebce zk
La foundation dnt, plus forte
Parfumerie Stephanie na poulman ai
Na keyi na keyi na key huuNiache , niache niache
Hee hee hee ehe x 4
Boss Erick mandala
The one and only
La force federatrice dela jeuness Patrick katemboNguvu ya Vijana Patrick kkatembo
Endelea kuimbaaaa
eehee sasa mkiwa mnaiba muwage munajua na maana sio kuimba imba na kucheza
 
Doh kumbe mashairi yenyewe yamesimamia ukucha 😎😎😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom