Sijawahi kuichoka hii movie. Tatizo kila nikiiangalia ROHO inaniuma Sana Hadi machozi yananitoka.

herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
2,457
Points
2,000

herzegovina

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
2,457 2,000
Wasalaam,

Movie hii inaitwa THE DARK KNIGHT. Ilitoka mwaka 2008. Movie hii ili-gross USD 1 BILION (TSH TRILIONI 2.3). Kwa kweli Ni moja ya movie yenye SCRIPT Kali Sana.

Hii Ni movie ya ACTION, PLOT yake siyo inayonisikitisha Bali kinachonisikitisha Ni kuwa hii ndiyo ilikuwa movie ya mwisho ya mwigizaji Heath Ledger ambaye hapa aliigiza Kama THE JOKER.

Heath Ledger utadhani alikuwa anajua kuwa hii ndio itakuwa "muvi" yake ya mwisho. Alikamua kweli kweli. Kama hujawahi kuiangalia hii movie naomba uitafute halafu uniambie eti Yule "THE JOKER" Alifariki kabla hata ya uzinduzi wa ile muvi Yani hakufanikiwa kuiona kazi yake Ile.

Kinachonisikitisha zaidi Ni aina ya kifo ambacho LEDGER alikufa. Unaambiwa katika kuigiza hii movie, Ledger alikuwa hapati usingizi kabisa. Hata baada ya kumaliza kuigiza movie hii tatizo Hilo liliendelea kumkumba. Na Alifariki kutokana na kuzidisha dawa za usingizi. Alikuwa na miaka 28 tu na wakati anafariki muvi hii ilikuwa katika editing phase.

Ninapoangalia muvie hii sio kuwa nahuzunika kutokana na plot yake Bali ROHO inaniuma Sana nikifikiria kuwa Ledger (THE JOKER) HATUNAYE TENA.

R.I.P THE JOKER
220px-HeathJoker.png
 
COMPTON BLVD

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
169
Points
250

COMPTON BLVD

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
169 250
Hahaaa! Noma sana hiyo movie

R.I.P THE JOKERView attachment 1221515
Mimi inanifurahisha pale Jokerman amechonga na washkaji ionekane wamemuua then wampeleke kwa Boss Michael Jai White (Hajatumia hili jina kwa hiyo movie) baada ya hapo wamemfikisha Michael Jai White akaona hapo mambo bomba.Jokerman ghafla akaamka na kumgeuka Michael Jai White kwa kumuua.
 
gataca

Senior Member
Joined
Aug 15, 2015
Messages
112
Points
250

gataca

Senior Member
Joined Aug 15, 2015
112 250
Wasalaam,

Movie hii inaitwa THE DARK KNIGHT. Ilitoka mwaka 2008. Movie hii ili-gross USD 1 BILION (TSH TRILIONI 2.3). Kwa kweli Ni moja ya movie yenye SCRIPT Kali Sana.

Hii Ni movie ya ACTION, PLOT yake siyo inayonisikitisha Bali kinachonisikitisha Ni kuwa hii ndiyo ilikuwa movie ya mwisho ya mwigizaji Heath Ledger ambaye hapa aliigiza Kama THE JOKER.

Heath Ledger utadhani alikuwa anajua kuwa hii ndio itakuwa "muvi" yake ya mwisho. Alikamua kweli kweli. Kama hujawahi kuiangalia hii movie naomba uitafute halafu uniambie eti Yule "THE JOKER" Alifariki kabla hata ya uzinduzi wa ile muvi Yani hakufanikiwa kuiona kazi yake Ile.

Kinachonisikitisha zaidi Ni aina ya kifo ambacho LEDGER alikufa. Unaambiwa katika kuigiza hii movie, Ledger alikuwa hapati usingizi kabisa. Hata baada ya kumaliza kuigiza movie hii tatizo Hilo liliendelea kumkumba. Na Alifariki kutokana na kuzidisha dawa za usingizi. Alikuwa na miaka 28 tu na wakati anafariki muvi hii ilikuwa katika editing phase.

Ninapoangalia muvie hii sio kuwa nahuzunika kutokana na plot yake Bali ROHO inaniuma Sana nikifikiria kuwa Ledger (THE JOKER) HATUNAYE TENA.

R.I.P THE JOKERView attachment 1221515
jamaa allitendea haki nafasi yake,na kuleta uhalisia zaidi hata make up alijifanyia mwenyewe
 
herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
2,457
Points
2,000

herzegovina

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
2,457 2,000
Hahaaa! Noma sana hiyo movieMimi inanifurahisha pale Jokerman amechonga na washkaji ionekane wamemuua then wampeleke kwa Boss Michael Jai White (Hajatumia hili jina kwa hiyo movie) baada ya hapo wamemfikisha Michael Jai White akaona hapo mambo bomba.Jokerman ghafla akaamka na kumgeuka Michael Jai White kwa kumuua.
Aliuliza his he dead? Then 500 grand halaf the joker akaamka na kumuuliza how about alive???😀
 
Denvers

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
21,962
Points
2,000

Denvers

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
21,962 2,000
Nikiwahi mwandikia uzi humu..
  • Heath Ledger (Joker)
Moja kati ya wasanii wenye kipaji kikubwa na waliopendwa sana sana. Ambae alikufa ajili ya Kuzidiwa na madawa ya kulevya wengi wanaamini kua alikua anasumbuliwa na watu wasio julikana kutokana na Nafasi aliyoicheza kama Jokerkwenye Muvi ya Batman:The Dark Knight.
Kwenye Documentary inayoitwa Too Young to Die iliyoandikwa na mama yake alieleza kua maandalizi ya kucheza nafadi ya Joker Kwenye Dark knight ndio yalisababisha kifo chake. Pia mama yake (Kim) alionyesha Diary ya ledger ambayo alikua anaandika kuhusu muvi anazocheza. Mwisho wa Diary hiyo Ledger alikua ameandika maneno BYE BYE kwa herufi zilizo kolezwa wino (Bolded letters) Inasemekana njia aliyotumia kuipata nafasi ya kucheza kama Joker ilikua inagombewa na wengi.hivyo ilimpelekea akajifungia hotelini na kukutwa akiwa amefariki. Ila huyu jamaa alikua ana bonge la kipaji, kama ulikua hufahamu ile make up ya joker alijifanyia mwenyewe . Ushaona mikono ya joker ina kama unga unga hvi wa rangi? Basi vile alijiwekea makusudi ili watu wajue kua make up alijifanyia mwenyewe.
 
COMPTON BLVD

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
169
Points
250

COMPTON BLVD

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
169 250
Asante sana mkuu kwa hii story ya Jokerman

Dah mkuu jamaa nikifikiria kuwa alikufa nakosa maneno kabisa...
 
Forum statistics

Threads 1,343,327
Members 515,022
Posts 32,780,846
Top