Mambo vp wadau. Mara kwa mara nimekuwa nikisikia mivutano ya wasanii wetu hapa Bongo, Hasa Kiba na Chibu. Hii mivutano yao imenisukuma kuandika japo kidogo kuhusu beef ama ugomvi wa msanii nguli...
Baada ya kuweka misitari mbalimbali ya Nas kuwaacha wadau waseme kama yalikuwa ni utabiri ama ni coincidence tu (nilipata contribution ya watu 2 tu), nitaweka pieces zaidi pamoja hapa...
Hakuna aliyekuwa anadhani kundi la PSquare siku moja litakuja kuvunjika kwa sababu lilikuwa limeundwa na ndugu wa damu kuanzia wanamuziki mpaka meneja wake. Kaka yao (Jude Okoye) ndiyo alikuwa...
Heshima kwenu wakuu.
Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikitafuta huu wimbo au hata jina la kwaya hi ya zamani iliimba wimbo wa PESA na albam yao ikiitwa hvo hivo PESA, na kasha lake lilikuwa na picha...
Intro
Ohh! ai say ai ai
Ohh! mama ei, oi ei ei ei
Say ei ei
Verse 1 - Dully Sykes
Nakupenda maa!
Basi njoo maa!
Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
Girl just listen,tuishi kama
heaven
Nakuweka...
Mara nyingi na kwa tabia za binadamu tulio wengi, kila mambo yanapotuendea vema tunaongeza au kubadili namna zetu za kuishi. Si kosa wala vibaya. Lakini huwa nahofia sana ikitokea kushuka kwa...
nilienda kufata biashara nchini korea kusini maana mizigo yangu huwa nachukuliaga japani sasa nikaona niende nchini korea kusini maana watu wanapasifu sana sasa NILIVYO tinga tu uwanja wa ndege...
Assalam aleykum,
Nimeona thread moja ambayo imetoa utani nikashawishika kuandika hii in a serious manner kidogo.
Kabla ya kuendelea nianze kwa kutoa ONYO: Haya ni mawazo yangu binafsi kwa kadri...
Na Mwanafalsamweusi
Tigo Fiesta kwa sasa linaendelea kuwa ndo tamasha bora na lenye mvuto zaidi nchini Tanzania baada ya Tamasha la Wasafi Festival kukosa kitu cha ziada cha kulitofautisha na Na...
JST BRIEFLY:
DID U KNOW THAT?
1.werrason really names are NOEL NGIAMA MAKANDA?
2He was born on 25th Dec 1965,in moliembo,small village in western DRC,kikwit,kwilu District?
3.He is the son of...
Wapendw wakuu humu ndani naiman wote mu wazima mkiendelea na majukum ya kila siku. Ombi langu naomba wnaoweza kunipatia au kunionyesha sites ninazoweza kupata vitabu hivyo iwe lugha ya kiswahili...
Shalom wana wa Mungu
Jumapili ya leo nimeamua niitumie kuyatoa ya moyoni juu ya muziki wa injili hapa Tanzania.
Ki ukweli hawa waimbaji wa siku hizi wa injili wamakera sana na nachelea kusema...
Msanii, mwanamapinduzi, mpinga ubaguzi na mtetezi wa haki za watu ambao daima wamekuwa wakionekana wanyonge Lucky Philip Dube, ambaye alifariki dunia Alhamisi ya Oktoba 18, mwaka 2007, baada ya...
Nimeamini kuwa ili uchukiwe wewe fanya kazi kwa bidii kisha ufanikiwe na naweza kusema kuwa watanzania tuna wivu sana kwa waliofanikiwa hasa kama ametokea familia masikini kisha kwa juhudi zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.