Chelsea vs Ajax Darajani...

Chelsea vs Ajax Darajani...

Zaburi 23

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
570
Reaction score
663
Hii Chelsea itakuja kuuwa watu jamani haya kipaji kingne hicho huyu dogo anaitwa Reece James sio yule James wa kule unyumbuni asiejuwa mpira huyu ni James mwenye kipaj chake ambae kazaliwa kucheza mpira.

Baada ya Lampard kugundua kuwa wale vibonde wetu walkuwa wanautumia sn upande wa Marcos Alonso kujipatia magoal akaona ngoja awatilie kitasa hiki kichotafuta kujulikana dunian huo ndio ukawa mwanzo na mwisho wa ndg zetu kujipatia magoal kihorela horela tu.

Yaan kwa kifupi huyu ndio alieenda kusawazisha makosa yte yalyofanywa na Alonso nazan nimeeleweka mpk hapo au niongeze sauti?

72887778_148579469825462_6505360292057186304_o.jpeg
 
Back
Top Bottom