Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

SEHEMU YA TATU THE GIRLS IN ISLAND 03 Kwakua alitambua kuwa malikia huyo hutumia muda mwingi katika hilo tendo. Walipoingia tu uwanjani, aliyatumia masaa matatu kumchezea malikia huyo...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
SEHEMU YA PILI THE GIRLS IN ISLAND 02 Hawakujua waanzie wapi na watokee wapi kutokana na umbali mrefu waliotembea mpaka kufika pale. Hata hivyo hawakufika mbali, mwenzao alidondoka na...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
SEHEMU YA KWANZA THE GIRLS IN ISLAND SEASON 1 Mnamo mwaka 1963 mwanasayansi mtafiti Mc Donald Gareen kutoka nchini Marekani, aliandika kitabu cha maajabu ya dunia baada ya kuandika habari ya...
6 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wana JF,uzi huu ni special kwa kutumiana nyimbo za enzi izo,iwe hip hop r&b n.k...wengi tunajuwa kuwa vya kale ni dhahabu(OLD IS GOLD),basi tusaidiane kupata vionjo vya enzi hizo kwa...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Hivi kwanini huu wimbo haukuHit? Beats ni balaa I used to have a crush on Steve kafire alivyokua anatangaza East Africa Top 10. Nilikuwa natuma message anasoma basi nasikia raaha
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Ikiwa wewe ni mtazamaji SABC, jua ya kuwa tamthiliya ya Isidingo the need imeshatolewa. Generations: The Legacy imechukua nafasi. Filamu yenu, imepoteza watazamaji kwa kiasi kikubwa ==== It’s...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Morning forum team, Nipo nakula burudani za Kale. Malejendari wa hii gemu leo nawaenzi kwa playlist hii. Mchumba- H-mbizo Ni soo. Pasha Simba wa Africa-Gk Niaje Domo-kaya na nature Binadamu Ay...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanamziki TID a.k.a Top In Dar amewataja wasanii ambao kwa maoni yake, amewaona si wasanii wazuri. 1. Abdu Kiba 2. Ommy Dimpoz 3. Mwasiti 4. Ben Pol
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwanamziki kutoka label ya WCB Rayvanny Boy a.k.a Sauti ya Vanilla na director Kenny kutoka Zoom Production chini ya WCB, wameshinda tuzo ya AFRIMMA AWARD. Rayvanny amechukua Video Bora of the...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Licha ya mara nyingi sana Bwana Chibu amekua akishutumiwa kuiba ama kukopi nyimbo za wasanii wengine kitu ambacho ni kosa la haki miliki, je kwanini haijawahi tokea waibiwaji wakalalamika au...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Marhaba, marhaba. Kama kichwa kilivyotambulishwa hapo juu. Huyu kijana wa Kimakonde "Harmonize" naona anasumbuliwa na nadharia ya kuwa, kujitoa kwake Wasafi ni kama kuachana na muziki wa kale na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila shaka weekend imeenda vizuri sana kwa kila mtu tumalizie weekend kama hivi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni wimbo upo kwenye album ya Stanley enow track number 13 ambayo amemshirikisha kijana kutoka Tanzania na msanii mwingine anaitwa Ariel sheney.stanley enow ni msanii mkubwa kutoka nchini...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wale wenyekutukuta lugha ya malkia wakati bado wanaishi ktk slums na kuendelea kufa kwa njaa, hili litakua ni somo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayejua page nzuri instagram za kuburudisha ashere namm atleast page 3 kali nje na ndani ya tz.mi napendelea 1.blessednjugush 2.shishiboyog 3.Liverpoolfc
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Msema Ukweli mpenz wa Mungu bila kupepesa macho WCB can't stop Harmonize, hii ngoma mpya ya moto sana. Give credit when due...DOGO ANAPAMBANA....
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasema haya baada ya siku mbili hivi kutoka kwa ngoma kali sana za wasanii wachanga ama unaweza kuwaita wadogo, wasaniii wenye uwezo halisi wa kutengeneza muziki na mashairi yalioshiba. Wanaopenda...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Aiseee!! hatari sana huu mchuano wa sasa je wewe kwako nyimbo gani ni bora? Mimi baba lao ndo habari ya mjini. Wengine hao wasindikizaji.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu. Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani? "swali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…