Naomba kufahamu kuhusu hili katika majukwaa ya muziki

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
994
846
Wakuu wa JF, nina swali na naomba niliwasilishe kwenu.

Kila wakati nikicheki majukwaa makubwa ya burudani husasani ya muziki huwa kuna ule moshi unapitapita sa nauliza uwa una maana gani?

"swali la kijinga likijibiwa kiusahihi humfanya kuwa kwenye kundi la wajanja"
 
Ule moshi huwa ni wa bangi hivyo msanii avutaye bangi akipanda jukwaani automatic unafuka.

Mashine yake huitwa bangi sensor.
 
Ule moshi huwa ni wa bangi hivyo msanii avutaye bangi akipanda jukwaani automatic unafuka.

Mashine yake huitwa bangi sensor.
umetisha mkuu asante kwa ufahamu ila niko vibaya na kicheko 😂😂😂
😄😄😂😂😂😂😂
 
@rusader_jr, kuna moshi ule unaotanda stage yote kutokea juu au chini mpaka chini zile huwa wanaita low na high fog na kuna ule ambao unaishia miguuni yan kwenye magoti ule wanaita dry ice..... Sasa zile hutumika kwaajili ya vitu viwili kwanza ubunifu na kuongeza special effect ya jukwaa kiujumla (kama mapambo) pili hutumika kusaidia mwanga wa taa za pale kwa stage uweze kuwa na nguvu na vitu vionekane vizuri yani zile taa za stage kukiwa na moshi ule huwa ndo vitu vinaonekana vizuri......
 
Tanayzer, kwa kuongezea tu kuna baadhi ya fog mashine znawekewa kiminiko chenye marashi(harufu) hivi inasaidia pia kupunguza harufu mbaya kama kuna msongamano wa watu...

Pia kuna zile taa zinaandika maneno kupitia mwanga wake...sasa bila ule moshi maneno hayawezi kusomeka....

Pia zinasaidia kung'arisha muonekano wa stendi au mavazi ya watu...hivi hata ukikaa nguo chafu inaonekana upo bling
 
Yes shukrani kwa elimu mkuu, ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom