Steve Kafire ft Ben Pol - Everytime

Steve Kafire ft Ben Pol - Everytime

housegirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3,125
Reaction score
2,194
Hivi kwanini huu wimbo haukuHit? Beats ni balaa



I used to have a crush on Steve kafire alivyokua anatangaza East Africa Top 10. Nilikuwa natuma message anasoma basi nasikia raaha
 
mi naona jamaa abadili hapa kafire maana linaleta picha mbaya kwa nn asingeweka kafaya?

nauliza tu kimya kimya
 
Hivi kwanini huu wimbo haukuHit? Beats ni balaa



I used to have a crush on Steve kafire alivyokua anatangaza East Africa Top 10. Nilikuwa natuma message anasoma basi nasikia raaha


The answer is very clear my friend,
Media Mediocrity. Usitegemee mziki kama huu kupigwa sana.
Halafu kwanza kaimba kiingereza ugonjwa wa pili wa taifa baada ya hesabu.
 
haha hii ndo nilijua ni sababu...

kweli media zetu uchwara. hata EA Radio walishindwa kumnadi MTU wao!

Ni kosa kubwa la kiufundi kuacha hatma ya sanaa ya mziki wa bongo kwenye mikono ya redio kama Clouds FM.
Siwapondi hata kidogo lakini mpaka sasa wamechangia sana kurudisha sanaa nyuma.
Nakumbuka miaka ya nyuma KISS FM walijitahidi sana kuwapigia chapeo wasanii bila rushwa wala ubaguzi, sema tu walikuwa hawajasambaa kivile.
Yote tisa ndiyo bongo yetu hii.
 
One of my favourite radio personalities sijui yupo wapi huyu mwamba kwa sasa please mwenye info zake amwage hapa nitamsikiliza popote alipo hata online sauti yake hua hainichoshi
 
Back
Top Bottom