toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,928
- 12,460
Msema Ukweli mpenz wa Mungu bila kupepesa macho WCB can't stop Harmonize, hii ngoma mpya ya moto sana. Give credit when due...DOGO ANAPAMBANA....
Uno haipo you tube imefutwa....!!!
Ameiba kazi ya msanii wa kenya... Ata audio hamnayaaah nimeona ila sijafuatilia kwanini, audio ipoo ila video haipo
Haya.
Orodhesha nyimbo ya diamond iliyofungiwa kwasababu ya wizi[emoji4]Yeye na Diamond wanapenda sana wizi sijui kwanini aisee
Ebu mtoe diamond hapo ebu tutajie wimbo hata mmoja wa mondi uliofungiwa kwa wizi?Yeye na Diamond wanapenda sana wizi sijui kwanini aisee
Huyo Megix Enga ye mwenyewe KWENYE BEAT ya DUNDAING ukiisikiliza haina Tofaut na NYIMBO ya OLOMIDE ya MOTGBANAAmeiba kazi ya msanii wa kenya... Ata audio hamna
KondeBoy[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ebu mtoe diamond hapo ebu tutajie wimbo hata mmoja wa mondi uliofungiwa kwa wizi?
Orodhesha nyimbo ya diamond iliyofungiwa kwasababu ya wizi[emoji4]
Mama d kama upo upande wa konde boy na mimi naunga msafara....KondeBoy[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii nyimbo kuna wachawi wataipondaMsema Ukweli mpenz wa Mungu bila kupepesa macho WCB can't stop Harmonize, hii ngoma mpya ya moto sana. Give credit when due...DOGO ANAPAMBANA....View attachment 1267907
Saivi hakuna video mpya... Labda ukashoot mwezini... Kila video ukiichambua utakuta imefanana na fulaniaisee hamna hata moja ila video zake anaiga sana ndugu kwani tatizo liko wapi ? msiposema ukweli hawa madogo mziki wao utadrop alafu mtashangaa
KweliSaivi hakuna video mpya... Labda ukashoot mwezini... Kila video ukiichambua utakuta imefanana na fulani