Hadithi: The girls in Island

chiqutitta

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,160
3,124
SEHEMU YA KWANZA
THE GIRLS IN ISLAND SEASON 1

Mnamo mwaka 1963 mwanasayansi mtafiti Mc Donald Gareen kutoka nchini Marekani, aliandika kitabu cha maajabu ya dunia baada ya kuandika habari ya kisiwa kidogo kilichopo Afrika ambacho kilijitokeza na hakikuwemo katika ramani.

Ina semakana kuwa kisiwa hicho kipo katikati ya nchi mbili, Tanzania na Comoro. Kisiwa hicho kilishindwa kutambulika kama ni kisiwa kutokana na udogo wake, pia hakukua na makazi ya watu. Watafiti wengine walipinga na kusema kuwa kile hakikuwa kisiwa bali na nyangumi mkubwa amejiegesha pale kwa kipindi kirefu.

Kuondoa utata, wanasayansi hao wakiongozwa na mgunduaji wa kisiwa hicho Mc Donald walifika katika kisiwa cho kupitia usafiri wa helcopta.

Kiikosi hicho cha wanasayansi tisa kilitua katika fukwe za kisiwa hicho kilichotawaliwa na msitu mkubwa.

“hivi kuna uwezekano wa kuishi viumbe hai katika kisiwa hiki?” aliuliza mmtafiti mmoja wapo baada ya kuzama katika msitu huo wenye miti yenye majani ya kuvutia.

“hilo ndilo unalotakiwa kuandika katika ripoti yako… usiulize maswali ambayo majibu yake yanapatikana humu.” Alijibu mtafiti mwenzake ambaye naye alikua anachuma majani ambayo aliona kuwa na utofauti na majani aliyoyazoea na kuyaweka katika begi lake.

“WOOOOOOOOOOOH”

Ulikua mshangao wa kila mmoja wao baada ya kuona jiwe kubwa la dhahabu lililo kuwa mule msituni likiwa limekaa pembani ya pango. Kila mmoja alitoa kifaa chake na kuhakikisha kuwa ile ilikua ni dhahabu. Wenye kamera walipiga picha kama kumbu kumbu zao katika utafiti wao.

Waliingia katika hilo pango. Cha kuwashangaza zaidi, kulikuwa hakuna giza kama mapango mengi yalivyo. Kulikuwa na muwako wa madini kila mahali. Kulikuwa na almasi,dhahabu na rubi kila mahalali. Walijikuta wakiwa kama machizi kwa jinsi walivyojionea utajiri huo uliokuwa bado haujashtukiwa na watu wengine zaidi yao.

“manonaje safari yetu iishie hapa jamani, kila mtu abebe anavyoweza kubeba, tuondokeni maana kama ni utajiri tumeshatajirika.”aliongea mtafiti baada ya kuona shehena ya madini ambayo hata mengine hayajui yakiwa kama uchafu katika pango hilo.

“unafikiri utajiri pekee unaweza kukufanya dunia isikusahau?... hivi kama ukigundua vitu vingi katika kisiwa hiki utakuwa maarufu na utasomwa vizazi na vizazi katika kila taifa katika hii dunia. Lengo la kuja huku halikua utajiri, bali ni kutengeneza historia.” Alongea kinara wa msafara Mc Donald.

“sawa mkuu, naya heshimu sana mawazo yako.” Alijibu yule mtafiti na safari ikaendelea.

Walitembea kwa muda wa masaa matatu, huko mbele ndio wakaona mlango wa kutokea. Kwa muda wote huo ambao walikuwa ndani ya pango, waliendelea kuona madini mengi ya rangi tofauti. Tena mengine yalikuwa makubwa sana kiasi cha kwamba mtu mmoja peke yake hawezi kubeba.

Baada ya kutoka nje, waliona miti mirefu kama mistimu ikiwa imtawala. Wakaamua kuendelea mbele huku wakihitaji kutokea upande wa pili wa kisiwa ili wapate kujua kuwa ni kweli hakukua na viumbe hai katika kisiwa hicho.

Baada ya mwendo wa masaa mawili, walianza kusikia kitu kama ngoma hivi ikipigwa na sauti za wanawake zikasikika wakiwa wanashangilia. Walipasua njia na kwenda eneo hilo ambalo ngoma hizo zilikuwa zinasikika.

Baada ya kuzifuatilia sauti hizo kwa muda, hatimaye walizifikia na kujionea wenyewe jinsi wanawake hao wazuri wanavyocheza na kukatika huku wakiwa wamevalia mavazi marefu lakini yenye mipasuo mpaka kwenye mapaja yao. Walikua na mvuto wa ajabu, viti na ngoma zao vilipambwa na madini.

Watafiti hao wakajikuta wamenogewa na kugandisha macho yao huku uchu wa wanawake hao ukiwa unapanda taratibu kutokana na uzuri wao na jinsi wanavyotamanisha kufanya ngono.

Waliangaliana kwa dakika kadhaa, na baadae wakakubalina na wao wajitose kwa wenyeji wao.

Baada ya kujitokeza tu, ile ngoma ilizimwa na wasichana wote aliokuwa pale walipigwa na butwaa baada ya kuwaona wavulana.

Hawajawahi kuona mtu akiwa na jinsia nyengine tofauti yao. Wakajikuta wanawatamani na kuwakimbilia huku wakiwagombania.

“waleteni hapa mbele yangu.”

Ilisikika sauti ya dada mmoja ambaye alikua amekaa kwenye kiti kilichopambwa vizuri. Kauli hiyo moja tu, ilitoshwa kuwafanya wale wasichana wawaachie na kufuata agizo la malikia wao.

Baada ya kuwapeleka wanasayansi hao mbele ya malikia, aliamka kwenye kiti chake na kuanza kuwasogelea wale wanasayansi na kuanza kuwasoma na kuwakagua kwa macho. Alichagua wanasayansi wanne huku Mc Donald akiwa ni mmoja wao na kuingia nao katika chumba chake. Alitoka nje na kuwaruhusu na wao wajisevie wavulana waliobakia.

Malikia aliwapapatikia wale wanasayansi na kuwavua nguo kila mmoja wao. Na yeye alivua na kuanza kumtomasa kila mmoja. Walijikuta na wao wanapatwa na mshawasha na kuanza kumuingilia huyo malikia kwa zamu.

Lakini cha ajabu, walijikuta wanachoka wao huku malikia akwa ndio kwanza anaanza. Walijitahidi mpaka wakajikuta wanaishiwa nguvu. Lakini wapi, malikia alikua anasikia raha na alikua anwahitaji kwa zamu huku akiwa hana dalili za kuchoka hata kidogo.

Walijilazimisha kupokezana kwa dakika moja moja mpaka asubuhi, lakini bado malikia alikua kama ndio anaanza, hap wakaona kuwa kifo kilikua mbeleyao, wakaamua kukata shauri na kukimbia, walipotoka nje, waliona wenzao wote wamepoteza maisha kutokana na kutumika na wasichana wengi kwa mkupuo.

Japokua walichoka hasa miguu kutokana na kazi nzito ya usiku kucha, lakini hawakua na budi kukimbia ili kunusuru maisha yao.

Hawakujua waanzie wapi na watokee wapi kutokana na umbali mrefu waliotembea mpaka kufika pale. Hata hivyo hawakufika mbali, mwenzao alidondoka na damu zikaanza kumtoka poani na mdomoni. Walimuacha akikata roho na wao wakaendelea na safari ili waokoe maisha yao. Hakuna aliyekuwa na wazo la kuchukua mali yoyote zaidi ya kuiokoa roho yake kkatiika kisiwa hicho.

Kufumba na kufumbua, wakajikuta wamekanyaga mtego wa nyavu uliowapeleka mpaka juu kabisa ya mti unaofanana na mstimu.

Hello, nimependa na wewe mwenzangu usome hadithi hii nzuri. Utafurahi naamini.
 
inaonekana ni nzuri,,,ila jitahidi isiishie njiani
 
Back
Top Bottom