Rayvanny na Director Kenny washinda tuzo ya AFRIMMA

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Mwanamziki kutoka label ya WCB Rayvanny Boy a.k.a Sauti ya Vanilla na director Kenny kutoka Zoom Production chini ya WCB, wameshinda tuzo ya AFRIMMA AWARD.

Rayvanny amechukua Video Bora of the Year Africa kupitia wimbo wa Tetema ft Diamond na Director Kenny amechukua Director Bora of the Year Africa kwa kuwabwaga mangwiji wengi wa kutengeneza video kali kupitia wimbo wa Tetema.
 
tuzo zimekuwa nyingi nyingi mpaka zinapoteza mivuto,hongera kwao
 
Afu anatokea mtu mmoja ambae hajui mziki na mlevi anamshindanisha rayvanny na harmonize narudia tena(RAYVANNY>HARMONIZE).
Acha ushamba nawe hiyo ni video tu nasio nyimbo bora hata harmonize anaweza chukua siku moja tuzo kama hiyo
 
Hv unajua konde boy alishachukua tuzo hiyo ya AFRIMMA mbele ya huyo van boy ilikuwa ni msanii bora chipukizi ( Best New Comer)
Sasa msanii chipukizi ahaaaaaah rayvanny na harmonize nani ana tuzo nyingi...?(UNAIJUA BET AU UNAOSIKIAGA KWENYE BOMBA LA MAJI..?),,,naudia tenaaaa RAYVANNY>harmonize.
 
😂😂😂😂 embu niambie huo ujinga unaotaka kusema kuhusu BET naijua BET kushinda unavyoijua ww.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom