Uno vs Baba Lao vs Mshumaa

Uno vs Baba Lao vs Mshumaa

super black Boy

Senior Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
135
Reaction score
169
Aiseee!! hatari sana huu mchuano wa sasa je wewe kwako nyimbo gani ni bora?

Mimi baba lao ndo habari ya mjini. Wengine hao wasindikizaji.
 
Mshumaa nyimbo gani hiyo haieleweki, kweli mziki tunauelewa tofauti, Aje na Kadogo ni kali mara kumi ya mshumaa.

Uno ni ngoma kali sana ila nahisi beat ya Uno angeipata mond ingekuwa mara mia ya alivyoifanya harmonize.[emoji16][emoji3][emoji16]

Mond ni mnyama hatari sana, baba lao ni noma aisee, ukicheki video you see the difference,hawa wengine waendelee kujitahidi watafikaga baadae lakini bado sana.[emoji4][emoji4]
 
Tena wakati wanafika mondi atakuwa kashaawaacha!!!🙂🙂🙂🙂
 
Baba lao iko juu n inasumbua bara sasa hivi. Uno ni kama inapigwa ndani ya tz tu.
 
Back
Top Bottom