Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nani zaidi kati ya Drake na Kendrick Lamar katika Hip Hop??
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Binafsi ni, 1. Michael Jackson 2. Whitney Houston 3. R-Kelly Shuka na yako !!!
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki. Kama unafanya kazi Weka salary mezani Tuoneee sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya maneno kwenye chorus huwa siyaelewi sijui waliimba nini. Ni remix ya niite basi, imeimbwa na wakali kwanza ....niite basi mpenzi uwe wangu, nikakutambulishe kwa ndugu zangu, shida...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] kuna nyimbo nikizisikiliza lazima nijifunze kitu asee ---:::--- -Kala Jeremiah -Nchi Ya Ahadi . -Roma mkatorki- 2030 -Kala Jeremiah -Dear God -Kala...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari tena waungwana! Kitambo sana sijaongelea kuhusu filamu. Leo nimerudi tena. Jana nilipata kuitazama filamu ya "Bohemian Rhapsody" iliyotoka mwaka wa 2018. Si ajabu imepata kuuzwa sana hadi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
The Inspirer When You Fall A Poem There are times when you just feel tired, tired of trying to fix things, tired of trying to carry on. You tried to write that book but it can’t be finished...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
upo hiv una sound anko hamisi tucharo najua nimekosea kutamka kihindi lakini kitu Kama hicho.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Jay-Z na Beyonce ni miongoni mwa watu ambao walibaki wamekaa wakati wimbo wa taifa la Marekani ukiimbwa kwenye ufunguzi wa fainali za #SuperBowl usiku wa kuamkia leo. Tafsiri yake ni kutounga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza natoa pongezi kwa Uongozi wa E-Fm Radio kwa kuwa kumbuka na kuwaamini Wasanii hususani wa Maigizo maarufu kama Bongo Movie kwa kuwa sehemu ya Watangazaji wake, baadhi niliowasikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi hadithi nilihadithiwa na marehemu bibi yangu RIP bibi. Katika kijiji kimoja alitokea kijana hodari sana kwa mawindo. Kijana huyu aliweza kuitunza familia yake vizuri hata baada ya baba yake...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
ANGEL WA DAR SEHEMU YA 01 Nilishtuka kutoka kwenye usingizi uliokuwa unaninyemelea pale kwenye sofa baada ya kusikia mlango ukigongwa, sikuwa nategemea ugeni wowote kwa mchana ule na ukizingatia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kati ya Rapa hatari USA na ulimwenguni kote ni Drake pia Kendrick Lamar. Drake aliwahi kutamba sana na album kama Views, Scorpion n.k Anafanya vizuri pia kwenye mitandao kama Spotify...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ni muda muafaka sasa wa haki kutendeka kwaajili ya Han Sinema za Fast & Furious zote ni kuhusu familia lakini kwa Hobbs & Shaw inayomfanya 'Character' ambaye ni 'Villain' wa zamani katika...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Sheria za mtandao nchini zinawataka watengeneza maudhui wote kusajili channels zao TCRA bila kujali ni maudhui gani wanatoa, jambo hili limefanya baadhi ya watu walioendelea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu za muda huu, kuna series nimeiona kipande chake alipost Millard Ayo inaitwa Ingobernable inaonekana ni series nzuri na worth to watch it ila sasa kila nikiingia kwenye zile torrents...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa app ya ku dawnload movie
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Salaam wana jamvi, Matumaini yangu ni kwamba tuwazima tukiendelea kulisukuma gurudumu la maendeleo kujipatia cha kutia midomoni mwetu. Ukiachana na matukio mengi yaliyotokea wiki hii, cha msingi...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu, Mapema mwanzo mwa mwezi January Century Cinemax waliweka bango kwenye page yao ya Instagram kuwa tarehe 31 mwezi huo huo wataonyesha movie ya IP MAN 4, kama mdau wa cinema...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…