Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Kuna baadhi ya maneno kwenye chorus huwa siyaelewi sijui waliimba nini. Ni remix ya niite basi, imeimbwa na wakali kwanza
....niite basi mpenzi uwe wangu, nikakutambulishe kwa ndugu zangu, shida zako ulizonazo ni za kwangu, sema sema sema niite basiiiiii, wanatamani me nishuke niwe chini yao, sauti yangu me ni kali kushinda yaoooo, ......BLESS ZA JAAH, KAMA BABA NDO AMETUPATIA, BARAKA AMETUJALIAAAA
Hapa kwenye herufi kubwa huwa napabahatisha kiukweli