brightmind
Member
- Dec 24, 2018
- 72
- 103
hao labda kwa wasanii wa kikeBinafsi ni,
1. Michael Jackson
2. Whitney Houston
3. R-Kelly
Shuka na yako !!!View attachment 1335403
[emoji2][emoji2]dahDiamond Platnumz, Rayvanny, Lavalava..
Alisikika Hance Mtanashati.
Naupata vizuri mziki wa hawa watu ni fire!!!!.Inategemeana unapenda zaidi miondoko gani,mie 3 bora zangu ni
1. Kenny Rogers
2. Dolly Parton
3. Don Williams
Muziki wa watu waungwana,kumbe tuko wengi.