Kuna Nyimbo Za Maana Na Za Ujumbe Mzito

Kuna Nyimbo Za Maana Na Za Ujumbe Mzito

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,049
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] kuna nyimbo nikizisikiliza lazima nijifunze kitu asee ---:::---
-Kala Jeremiah -Nchi Ya Ahadi .
-Roma mkatorki- 2030
-Kala Jeremiah -Dear God
-Kala Jeremiah Wana Ndoto .

Hizi miziki kiukweli zilistahili tuzo bora na ya heshima kwa ujumbe mzito uliojaa ndani yake :-

Drop list ya nyimbo za kali zilizosheheni ujumbe kwa jamii na siyo nyimbo za mapenzi ..

[Moyo[/SUKUMA]
 
loliwe by Zahara
 
Profesa jay kuna mstari mmoja hivi ulikuwa unasema

baskeli huwezi kuendesha helikopta utaendeshaje kila mmoja Awe na yake huko angani itakuwaje?
 
Back
Top Bottom