Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 287
Moja kati ya Rapa hatari USA na ulimwenguni kote ni Drake pia Kendrick Lamar. Drake aliwahi kutamba sana na album kama Views, Scorpion n.k
Anafanya vizuri pia kwenye mitandao kama Spotify, Youtube nk. Ngoma zake zinafikisha views mpaka Billion 1.
Moja kati ya album hatari ya Kendrick Lamar ni DAMN (sina hakika na spelling)
Ikiwa na mkwaju kama DNA uliofanya vizuri lakini Kendrick hafanyi vizuri kwenye YouTube kama Drake.
Kwa ujumla, kati ya Kendrick Lamar na Drake nani zaidi kwenye Hiphop? na Kwanini?
Forgive Me.