"Mr John jikaze kifo kipo na kila mwanaadam ataonja umauti kwahiyo naomba uvumilie,najua ulimpenda mke wako kipenzi mama manavy,,piga moyo konde boss"yalikua maneno ya kumtia faraja kidog Mr John...
MTUNZI: FAKI A. FAKI
SEHEMU YA KWANZA
Fikiria kwamba uko chumbani na mke wa rafiki yako aliyeko safarini. Mwanamke anakwambia kwamba anakupenda. Anakulaghai kwa maneno mpaka unalainika. Unaamua...
Mtoto wa tajiri wa pili duniani,,n simulizi nzur,yenye visa mbalimbali vya mapenzi,mauaji,shida,mafanikio,na mambo mengi ndani yake ikimlenga mtoto wa tajiri mkubwa duniani... support yenu...
Mwenye Album Hiyo tafadhali naomba unipatie nyimbo za album hiyo
Mimi ninazo
1. Maria Saloma 2. Kaisiki 3.Alimwatusile pekee.
Naomba mwenyei nyimbo zingine za Abum hii anisaidie.
Nimeona trailer ya hizi movie nafikiri Kwa sasa Movie za kibongo zitafaa kuangaliwa
1. Mstari wa damu trailer
2. Mzalendo
3. Jeshi la ukombozi
4. Chaguo series
Saidi fella ni mfanyabiashara Katika tasnia ya Muziki na mafanikio ya hii band kwa asilimia zote yeye ndio kayawezesha. Kwa hili nampa Hongera sana
Kilichonifanya niandike huu uzi ni Tukio...
Dah mzigo nimeusubiri kwa hamu sana huu na umenikosha,'
Binafsi Profesa kaniacha hoi kwa ile mbinu waliyotumia kumuokoa mke wake na kumpeleka benki kuu
SEHEMU YA 1
Nilikamatwa na maaskari majira ya saa sita mchana kwenye mgahawa wa ENO. Nilikuwa nakula mayai huku nikinywa kahawa. Unaweza kuita kifungua kinywa kilichochelewa, kwa sababu...
How can u say Professor of money heist is smarter than Michael Scofield of prison break. Scofield survived through betrayals, setups, toughest prisons and smart detective like Alex Mahone...
Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo...
Aman iwe nanyi
Yule roma mkakoliki ambaye amekimbilia kwa mabeberu leo bhana kaachia ngoma kali sana ya kusifu na kuabudu
Ngoma ni kali sana aisee
Producer bin Laden kapiga bonge la beat...
Naona tuzo za Oscar zinatolewa kesho na hizi movie zote zinashindania tuzo ya best animated feature.. kwa naoni yako ipi kali?
naona Zootopia imeshinda.
Hii imedhiirika baada ya wasanii kadhaa kujitoa WCB mashabiki waliokua wanawatukuza na kuwapaisha kua ni wasanii wakali na watunzi wazuri wa mashairi, mashabiki hao hao ndo wanaongoza kwa...
Kwanza kabisa hiyo a.k.a ya Kardinali mimi ndio nimempa huyu jamaa kwa sababu ana Pengo.
Back to my point. One the Incredible has stuck in the 90s. He thinks 2019 is 1994.
Yani up to this era...
Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana.
Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa...