Big up to Benroyal Picture

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Nimeona trailer ya hizi movie nafikiri Kwa sasa Movie za kibongo zitafaa kuangaliwa

1. Mstari wa damu trailer

2. Mzalendo

3. Jeshi la ukombozi

4. Chaguo series

Aisee mmejitahidi kwa kiasi kikubwa km hiyo mstari wa damu ipo vizuri. Sasa ili kupata pesa mtauza kwa platform gani mana CD hazina ishu mkiweka online wabongo wanapenda vya bure watapastiana tu na kujaza kwenye liblary zao kisha wataanza uziana kitaani bira nyinyi kupata chochote na mkisema muingie mkataba na AZAM na tv zingine wananyonya kishenzi msiwauzie hawa wajinga ndo wanafanya MOVIE za Kibongo zinakuwa mbaya kutokana na bei zao finyu,
yaani kuna mambo unatamani kufanya makubwa zaidi ya hayo lkn ukiwafikilia hao wadau wenyewe unabaki kuchoka tu.

HONGERENI MMEJITAHIDI SANA

kwa KIBONGOBONGO nawashauri muuze kwa mtindo wa FRASH ambazo ziko protected ucopy kitu wala upaste km mtakuwa na msingi mzuri wa pesa inawezeka 2gb china kila frash moja mpk kufika bongo haizidi elf 2 na kadri mnavyochukua nyingi bei inapungua kwa mtindo huo ndo mtapata pesa mana kila mtu itabidi awe flash yake hazitazagaa katika maliblary haya ya mtaani.
na uzuri wa flash inasoma kote
kwenye simu Tv deki compyuta nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekusikia mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom