Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,757
Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana.
Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa kawaida sana kwa huyu mwamba, ila sijui jamaa anakwama wapi.
Anaimba sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa kawaida sana kwa huyu mwamba, ila sijui jamaa anakwama wapi.
Anaimba sana
Sent using Jamii Forums mobile app