Mdahalo: La Casa DE Papel. Toa maoni yako

Mdahalo: La Casa DE Papel. Toa maoni yako

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,406
Reaction score
19,375
Dah mzigo nimeusubiri kwa hamu sana huu na umenikosha,'

Binafsi Profesa kaniacha hoi kwa ile mbinu waliyotumia kumuokoa mke wake na kumpeleka benki kuu

1586030903516.png
 
Nairobi anakufa kabisa time hii daaah
Dah yani yule mlinzi mkuu wa benki alijifungua pingu akaanza kuwawinda kina Nairobi, yani Nairobi alipigwa risasi ya mapafu akafanyiwa operesheni huyo jamaa alimkamata akampiga ngumi za mbavuni, akampiga risasi ya mkononi na mwishowe akampiga risasi ya kichwani. Mke wa profesa kachukua nafasi ya Nairobi kwa sasa
 
Back
Top Bottom