Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,088
- 8,831
Hii imedhiirika baada ya wasanii kadhaa kujitoa WCB mashabiki waliokua wanawatukuza na kuwapaisha kua ni wasanii wakali na watunzi wazuri wa mashairi, mashabiki hao hao ndo wanaongoza kwa kuwaponda na kuaminisha uma kua hawajui kuimba wala kutunga.
Je, wasanii wa WCB ni kweli kua Uwezo Wao ni mdogo na ni Wasanii wa wakaida Wanatoboa kwa upepo wa Diamond wanatoa nyimbo za kawaida ila zinapaishwa na mashabiki wa Diamond hata izo view za YouTube ni kua wanamsapot Diamond na si uwezo wa msanii husika?
Au ni kweli kua pale WCB wanatumia nguvu za giza (UCHAWI) kumpaisha msanii?
Fans wa WCB walioaminisha watu kua Harmonize ni mkali na msanii mwenye uwezo mkubwa ndo hao hao wanaotumia nguvu kubwa kuawaaminisha watu wamuone Harmonize si lolote na si chochote ni msanii mwenye uwezo mdogo.
Hilo linadhiirisha maneno ya wataalam wa burudani kua fans wa WCB hawajui mziki ni bendera fata upepo mashabiki UCHWARA na hawana msimamo wao wanashabikia mtu (DIAMOND) na si muziki mzuri.
Kwanini Team WCB hamtaki kukubari kua uwezo wa Diamond kiutunzi umeshuka na mmebaki kumsapot kwa mahaaba, hamuoni kama mnapoteza?
ukitaka kujua kwamba Kayumba ni Msanii mkubwa zaidi ya Rayvany na Mboso nje ya WCB wafanye maigizo kua wamejitoa WCB na wafanye mziki kwa Miezi 6 nje ya WCB hao hao fans wa usafini ndo watakao walaza kifo cha mende.
Ndo maana wajanja wamejitoa ili kutengeneza Himaya yao.
Tumekubaliana kua follows na subscriber wa akina Mboso na Rayvany ni wa Diamond na wao ni kama mabeki 3 wa ndani akitimuliwa anaondoka bila kitu.