Zootopia na Moana, ipi ni animation nzuri kwa 2016?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,939
Naona tuzo za Oscar zinatolewa kesho na hizi movie zote zinashindania tuzo ya best animated feature.. kwa naoni yako ipi kali?
movie_poster_zootopia_866a1bf2.jpeg
moana-fallback_fde4d101.jpeg


naona Zootopia imeshinda.

upload_2017-2-27_7-2-5.png
 
mi mwenyewe nimeikubali sanna Moana ila Zootopia imeuza karibu mara mbili ya Moana ikiuza $1 billion! na ratings ni juu zaidi. inaonekana itachukua.
Sometimes movie inapigiwa sana promo so ikitoka lazima iuze sana japo content sio kivileee
 
Back
Top Bottom