Sci-fi movie ya Kibongo

i_zebrain

Member
Jun 2, 2019
60
41
Habari za wakati huu ndugu zangu?

Mimi ni mpenda movies especially animations. Nimeangalia movies za kategory nyingi kama:
Horrors
Adventures
Racings
Actions
Comedy, na category zingine za movies

Pia, katika kuangalia kwangu Bongo movie nimeona wamejaribu kufanya some adventure, action, horrors na comedy
lakini kusema kweli sijawahi kuona Bongo movie ambayo ni sci-fi. Natafuta sana movie ya Kibongo ya aina hiyo.

Kw ayoyote anayefahm aniambie tafadhali na mimi niitafute

Asanteni👍
 
Vincent Kogosi "Ray" abuni time travel mashine ikamrudisha mwaka 1850 enzi za ukoroni akamuua mzazi wa Carl Peters ili Carl Peters asiweze kuzaliwa mwaka 1851.

Huku nyuma, mwanadada Wema Sepetu "Iron Lady" akiwa katika Lab ya Tanzanite Lab akakamilisha kutengeneza suti yake ya Mark IX ikiwa equipped na Jarvis AI. Suti hii itamsaidia kupambana na Thanos katika kupigania Infinity gems.

....

Man, Tanzania hatuwezi. Kabisa. Ata izo ulizosema genres za racing, horror, war, sijui uliziona kwenye movies gani hapa Bongo.

Bongo movies ni kusutana, uchawi mdogo mdogo, wanawake kuonesha makalio na nusu uchi,... ndio size yao.
 
Boss, asee mbn kama unajua kutengeneza hizi mambo asee ani hpo nmesoma nkahis kama kweli vile😁😁😁
Sema daaah tatizo n kukosa story za hivo ama ni ile kukosa madirector wanaoeza kufny movie za hivo
Ama ni uvivu tu🤔
 
Vincent Kogosi "Ray" abuni time travel mashine ikamrudisha mwaka 1850 enzi za ukoroni akamuua mzazi wa Carl Peters ili Carl Peters asiweze kuzaliwa mwaka 1851.

Huku nyuma, mwanadada Wema Sepetu "Iron Lady" akiwa katika Lab ya Tanzanite Lab akakamilisha kutengeneza suti yake ya Mark IX ikiwa equipped na Jarvis AI. Suti hii itamsaidia kupambana na Thanos katika kupigania Infinity gems...

Kitu rahisi nachongaa awawezi fanya.

Kuna Project kubwa Duniani kama ‘World War Zombie’ na Chapter 2 yake inaweza toka hivi Player wa bongo movie kwanini wasifanye ku-consult waandaji wakafanya Seen kadhaa Tz na wao wakaonekana kwenye Seen hata kidogo kama Zombie weusi wakafanya mikiki ya ajabu hata mtu akiangalia movie mzima atasema hii Seen ya Zombie in DSM hatari.

Industry inahitaji mapinduzi.
 
Boss,asee mbn kama unajua kutengeneza hizi mambo asee ani hpo nmesoma nkahis kama kweli vile😁😁😁
Sema daaah tatizo n kukosa story za hivo ama ni ile kukosa madirector wanaoeza kufny movie za hivo
Ama ni uvivu tu🤔
Ugumu wa Sci-fi movies ni kwa producer. Yaani inabidi watu wapige code aswaaa. Maana vitendo kidogo computer sanaaaa.
 
Ka
Kitu rahisi nachongaa awawezi fanya.

Kuna Project kubwa Duniani kama ‘World War Zombie’ na Chapter 2 yake inaweza toka hivi Player wa bongo movie kwanini wasifanye ku-consult waandaji wakafanya Seen kadhaa Tz na wao wakaonekana kwenye Seen hata kidogo kama Zombie weusi wakafanya mikiki ya ajabu hata mtu akiangalia movie mzima atasema hii Seen ya Zombie in DSM hatari.

Industry inahitaji mapinduzi.
Kwan ni actors ndo wanaomba au production yenyew ndo wanachagua wenyew?
En hata hvo kama unawezkn n nzur ani hyo ingesaidia wanaiba hata ujuzi pale wa kufny hzo makeup zao na ma technologia yao
 
Ugumu wa Sci-fi movies ni kwa producer. Yaani inabidi watu wapige code aswaaa. Maana vitendo kidogo computer sanaaaa.
Afu kweli ila unataka kunambia bongo amn wanao soma mambo ya video production? Mbn DIT wapo kibao wanakwama wal kitumia hayo ma blue screen na ma FX nn sjui uko
 
Ka

Kwan ni actors ndo wanaomba au production yenyew ndo wanachagua wenyew?
En hata hvo kama unawezkn n nzur ani hyo ingesaidia wanaiba hata ujuzi pale wa kufny hzo makeup zao na ma technologia yao

Waandaji ndio wanachagua location, nimesoma Consult sio kuwapangia unawapa Proposal wakikubali wanafanya, wakifanikiwa wanapata maslahi makubwa Project kubwa kama WWZ seen moja unaweza uka-suistain maisha kidogo hata Boxer hukosi.
 
Afu kweli ila unataka kunambia bongo amn wanao soma mambo ya video production? Mbn DIT wapo kibao wanakwama wal kitumia hayo ma blue screen na ma FX nn sjui uko
Vifaa man. Vifaa, budget, wataalamu, powerful computers.

Umewahi angalia movie mfano Avengers ikiisha majina yakaanza kupanda juu, achana na wale casts sasa angalia production team, unakuta majina yanapanda juu zaidi ya dakika 10 inamaana washiriki zaidi ya 1000 ila hawaonekani.

Kila mtu ana utaalamu wake sehemu fulani.

Unakuta movie budget yake USD Million kadhaa.

Bongo movies budget yetu movies nyingi Million 10 haivuki
 
Vifaa man. Vifaa, budget, wataalamu, powerful computers.

Umewahi angalia movie mfano Avengers ikiisha majina yakaanza kupanda juu, achana na wale casts sasa angalia production team, unakuta majina yanapanda juu zaidi ya dakika 10 inamaana washiriki zaidi ya 1000 ila hawaonekani...
Hata ukiangalia animation kama Moana lbd ambayo inafanyika tu bila kuharb vitu km kwenye mamovie KBS km fast and furious... Uki compare hiyo budget ya animation na ya movie za hapa bado sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom