Niliumizwa naenda kuumiza: Dedication song to Dizatavina

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Nilipaa sasa natua kwenye,kwenye siri ya moyo na siri ya moyo anaijua mwenye,mwenye ujasiri wa kuitunza ,nafanya nachodhani ni sahihi kitachotokea ntajua mbele.

Kwa mfano nakwita mpenzi ,natabasam zuri wakat najua kuwa sikupend,na kuitoa hii siri ndo siwez kwa hyo ntakudanganya mpaka ifike Siku niutimize ushenz.


Wanasema mwanaharamu haijui laana,kashalainika,naskitika kuwa hujui kama,naonekana ka kondoo kwa mchungaj lakin ,lakin kwa ndani mi nichui mama.

Kwa mfano nakwita mpenz,natabasamu zuri wakati najua kuwa sikupendi,na kuitoa hii siri ndo siwezi,kwa hyo nrakudanganya mpaka ifike Siku niutimize ushenzi,

uwa nawaza nikuweke ufaham ,utambue ya kwamba mpo wengi ,na lengo niwateke ka zamu,ili niwaumize mpeleke salamu,naskitika jinsi unavyoingoja Pete kwa hamu.

Kichwa changu hichi,kichwa changu kishajadili kwamba ntalala na wewe na haifiki jumapili,ntakuw nshakuacha ,

Utantafuta kwenye simu ambayo namba ntakuw nshaibadil,utantafta Mara mbili Mara tatu kisha nne.utagundua kurudi sina dalili ngoja ngoja itang'ata moyo wako kikatil,mja wa watu maumivu hukujandaa kuyakabili.

"Siwazii kukuonea huruma na sibadili dhambi hata dunia ikisogea nyuma"

SINA HATIA
 
Link haina kitu
IMG_20200602_110553_336.JPG
 
Back
Top Bottom