Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 520
- 1,075
Saa hivi kuna ushindani mkubwa kwenye tasnia ya utangazaji. Japo vipaji vipo vingi mtaani vya kutangaza. Sema ukiweza kuji brand una kuwa na soko kubwa.
Ukisema unaacha kutangaza basi wengine wanasema wanakutaka. Inapendeza sana.
Piga spanaa
Ukisema unaacha kutangaza basi wengine wanasema wanakutaka. Inapendeza sana.
Piga spanaa