Redio bora kwangu na isiyochosha ni Clouds FM

Redio bora kwangu na isiyochosha ni Clouds FM

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
1,114
Reaction score
2,070
Habari zenu wana jf
Nipende kukili kwamba sikua msikilizaji wa redio kwa mda mrefu sanaa lakini hii Corona imenifanya nisikilize redio mda mwingi kwakua nabaki nyumbani nikijilinda na haya maambukizi....

Nimevutiwa sanaa na redio clouds FM haswa kipindi cha LEO TENA pamoja na JAHAZI.. hivi vipindi vimejaa watu wenye utaalamu wa kutangaza na wasio chosha pamoja na maada mbali mbali pia na kuzichambua..

Namkubali sanaa Musa Hussein ama mwana DSM wa kipindi cha LEO TENA maana amekua mchambuzi asiye sHikiwa akili na mtu ni mtangazaji wa kuhoji ajali ni kiongozi serikalini au laa

Pia kipindi cha jahazi kuna jamaa ana bezi hivi na huyu Gadna hawa jamaa wanajua kutangaza wako vizuri mnooo kipindi chao unaweza ukawa unacheka tuu zile maada zao..

NAWAPONGEZA CLOUDS FM KWA UBUNIFU WENU HASWA KIPINDI HIKI CHA KUJIFUNGIA NDANI MMEKUA REDIO NUMBER MOJA KWANGU..

ni redio gani we unaona inavipindi vizuri isiyochosha haswa kwa sisi watu wazima..!!?

TUJILINDE NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For me the best station radio is RFA from a rock city Mwanza and Safari Radio from Mtwara town
 
Cloudz akitaka kukinogesha kipindi cha jahazi, inabidi wamchukue yule mtangazani wa East africa radio, yule mkenya sijui anaitwa IAN/ IRON(nadhani kipindi chao kinaitwa .... drive)

Yule jamaa akikaa na gadna kipindi kitakua bora sana
Iyan Dialo.
 
Cloudz akitaka kukinogesha kipindi cha jahazi, inabidi wamchukue yule mtangazani wa East africa radio, yule mkenya sijui anaitwa IAN/ IRON(nadhani kipindi chao kinaitwa .... drive)

Yule jamaa akikaa na gadna kipindi kitakua bora sana
Uko sawa mkuu. Kabla alikiweza Gadner na Marehemu Kibonde. Ian wa The East African drive (the cruise) anafaa. Au hata Gerald Hando.

Sasa hivi kipindi kina kelele, Gadner ha-match na hao vijana.
 
Back
Top Bottom