Slow Jam Music...

Slow Jam Music...

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,077
Reaction score
2,164
Habari za asubuhi wanajamvi

Nahisi kichwa cha habari kinaeleweka, kutokana na upweke nilionao nipo mbali na bi mdashi wangu naomba wanajamvi kunitumia zile nyimbo pendwa za mahaba kama za akina westlife, backstreet boys, celine na wengineo

Ni matumaini yangu ombi litakubaliwa

Wenu katika ujenzi wa mapenzi

Zombi mweusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom