Tukiendelea kufuata ushauri wa wataalamu kipindi hichi kigumu dunia inachopitia, ukiachana na vitu vyote ushauri muhimu wanaotoa wataalamu ni kukaa nyumbani na kutulia ili kujilinda wewe pamoja na...
Katika makala ya wiki iliyopita niliandika mambo kadhaa ambayo ni muhimu kuyaweka mbele katika kusaidia kuunda bendi bora. Kimsingi ukiangalia mambo niliyoyataja utaona kuwa kuunda bendi kuna...
Jamani mwenye nyimbo hizo anisaidie nilizisikia maeneo ya NJOMBE. Nimetafuta kila web hata Youtube hakuna.
Amekufunga inaanza hivi
"Kwa nini ufie dhambini,
wakati neema ipo,
Yesu katoa msamaha...
Wasaalam,
Mapema Leo niko nyumbani kabla ya saa tatu kamili sio kawaida yangu mpaka mtoto anauliza baba muda mrefu sijakuona ulikuwa umesafiri? Nashindwa kujibu nachukua remote naitafuta TV E...
Katika nyimbo zinazonibariki ni pamoja na huu ambao nimeutafuta sana bila mafanikio. Kwa yeyote atakaeweza kufanikisha kuupata na kuuweka hapa nitamshukuru sana.
Itapendeza kama ukipatikana video...
Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa...
Ukubwa wa janga la Corona umeilazimu serikali kutangaza kusitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu ikiwemo shughuli za muziki. Katika historia yangu kama mwanamuziki, hii itakuwa mara ya tatu...
KATIKA miaka ya 1960 na 1970 mpaka 1980, karibu kila eneo la jiji la Dar es Salaam kulikuwa na makundi ya muziki. Wakati huo muziki ulifanywa kwa vikundi tofauti na sasa ambapo msanii anaweza kuwa...
Hivi kwa nini Wanamuziki wa Uingereza wanavyooongea na wanavyoimba ni tofauti? Wakiimba wanaimba Kimarekani lakini ukiwasikia wakiongea wanaongea kikwao, mfano nimesikiliza nyimbo nyingi za Elton...
Salaam.
Nimeangalia Movies fulan za Kuogofya, mie kwa upande wangu zinanivutia tu. Zinatisha ila najikuta naangalia zaidi na zaidi, na pale zinapoishi napenda kutazama zaidi.
Sasa zilizonigusa...
Hii ICECREAM ni moja ya ngoma zilizoniburudisha sana enzi hizo za sekondari na kuufanya ujana wangu ubaki na memories za kuvutia. In short huu wimbo uliitendea haki fasihi kwenye upande wa...
1. JOLIE (Haimaanishi)
2. KELLAH (Ukinimiss)
3. RINI MARII (Salaam)
Hawa wadada naona walianza vizuri sana career yao ya muziki, ni vipaji halisi but what happened then? Mbona wako kimya...
Mimi mwenzenu katika pitapita za hapa na pale, nimekutana na huu wimbo katika moja ya kituo cha redio.
Mashairi - "Baba kaleta mbwa, Aaaaaah, Hapana usiseme mbwa, Sisi ni wahehe (unaendelea hapa...
Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band...
Wakuu atimae Harmonize leo ameamua kumaliza bifu lake na EATV, amepiga stori mbili tatu na Tbway katika kipindi cha Friday Night pia amemtambulisha msanii wake ibrah ambae alikuwa akitambulisha...
Wakina dada hawa wamekuwa wakipendezesha videos na kuwa na mvuto lakini sidhani kama wanapata maslahi ya kueleweka zaidi ya umaarufu.
Nadhani ni kazi ambayo ni ya gharama hasa kuwekeza kwenye...
Watanzania tuanzishe mazoea ya ku wa unfollow wanaopost mambo ya kijinga mtandaoni....
Nadhani ni muda muafaka sasa ni sisi watanzania tunaotumia mitandao ya
Kijamii hasa facebook, instagram...