Najua naweza kuwa against na watu wachache ila huyu jamaa ni ghost writer never seen.👹👹👹
Jamaa yupo deep sana kwenye mashairi yake, na hata utunzi wake sijaona kama yeye 👽👽👽
Pia ni King of...
Samahani HII SMS INA HADITHI MAFUNDISHO KWAAJILI YA JAMII MNISAMEE KAMA ITA WAKWAZA KWA UFUPI
*PALE MAITI INAPOKUWA NI BORA KULIKO MGONJWA*
Mazungumzo baina ya Mabwana Sambi na Sembela ambao ni...
Sisifii siffii na sipendi mm ni mkazi jiji DSM.
Hupenda kutoka mtoko Kama kawaida ya Sana ukiwa DSM. Nimetembea nimelala,nimezunguka miji hakuna pub kama hii. Kiukweli DJ ndio ananisuuza zaidi...
By Sangu Joseph
Njia ya kuanguka kimuziki ya Vanessa Mdee nadhani inafaa kuwa fundisho Sana kwa Wasanii wakike nchini lakini Kwa Leo naomba niidedicate Kwa Nandy zaidi.
Inawezekana mkaniona wa...
Umuofia kwenu,
Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off".
Binafsi wimbo as Dogo...
Nimekuwa shabiki wa mwimbaji wa muziki wa injili nchini Tanzania Bahati Bukuku, lakini sijawahi kukubali collabo ambazo amekuwa akifanya na wanamuziki wengine.
Lakini hii collabo yake na msanii...
Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong.
Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu...
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni...
Wakuu ifuatayo ni list ya nyimbo 10 zilizo tizamwa zaidi Tanzania mpaka kupitia platform ya Youtube
1.Jeje 23m (Diamond
2.Teamo 12m (Vanny & Messias
3Quarantine 8.5m (WBC
4.Dodo 6.7m (Kiba...
habar wakuu,
Naomba kama kuna mtu atake weza niwekea link au namna yeyote yakupa hizi nyimbo.
1. Mwaka wa tabu wa Ally Choki
2. Tunda RMX wa Mwijuma Mumini
SEHEMU YA 01:
“We binti njoo hapa,” nilikuwa napita kwenye mtaa mmoja kule Temeke, nikaitwa hivyo na mbaba mmoja aliyekaa kwenye benchi la kijana anayeosha viatu, wenyewe mnamuita ‘shuushaina’...
Mtunzi Boniphance Ngumije sehemu ya 01
“Babu…” sauti ya mtoto ilisikia.
“Naam mjukuu wangu.” Ilijibu sauti nzito ya mtu mzee.
Kisha wanaonekana watu wawili wakiwa wameketi kwenye gogo la mti...
Aisee kama wewe ni mpenzi wa kusikiliza redio basi fungulia Choice FM hutojutia.
Ni ngoma juu ya ngoma na watangazaji wake wana Vibe kinoma noma
Kule hakuna siasa wala matangazo ya mara kwa mara...
The exorcist Ni moja kati ya masterpiece iliyotoka miaka y mwanzo ya 70.ila ninapoitazama unaweza kusema ni ya mwaka jana.
Nilichojifunza kwenye hiyo filamu ni kwamba
1. Sayansi haiwezi kutatua...
Nimependa mashairi, hakuna kulambalamba watu. Kijana kayapanga masishairi balaa. Sio kama ngoma za kina chuchu zimechuja hata kabla hazija tumika. Link hii hapa, kula mzigo mnono huo kwa majivuno...
Hii aina ya mziki ni ovyo sana!
Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.
Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.