Samuel L. Jackson...

Samuel L. Jackson...

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,363
Reaction score
6,865
Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement.

Unaweza kumuangalia pia kwenye Django na movie zingine nyingi. Hakika huyu jamaa anaweza

Karibuni

1595226710507.png

1595226776800.png
 
Siasa Ina run dunia..vichwa vya watu humu havitaki tena mambo burudani.
Yaani uzi huu ningemsifia au kumponda mwana siasa aliyetangaza nia ya Urais,Ubunge au udiwani ungekuwa umeshafikisha kurasa 100.
Nawaza tu.
 
Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement.

Unaweza kumuangalia pia kwenye Django na movie zingine nyingi. Hakika huyu jamaa anaweza

Karibuni
Tafuta movie yake moja inaitwa The Unthinkable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndie Actor anayeongoza kwa kucheza muvi nyingi kwa ujumla wa kushiriki, nakumbuka hata kwenye Coming to America ya Eddie Murphy mnyama huyu yupo
 
sauti yake pia imetumika kwenye movie inaitwa am not your Negro
 
Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement.

Unaweza kumuangalia pia kwenye Django na movie zingine nyingi. Hakika huyu jamaa anaweza

Karibuni
Nafika vizuri jina lake
 
Siasa Ina run dunia..vichwa vya watu humu havitaki tena mambo burudani.
Yaani uzi huu ningemsifia au kumponda mwana siasa aliyetangaza nia ya Urais,Ubunge au udiwani ungekuwa umeshafikisha kurasa 100.
Nawaza tu.
Una frustration
 
Wote ni mastaa wakubwa lakini wametofautiana kimkakati kwenye Sanaa kutokana na historia zao kwenye tasnia

Denzel yeye ni star aliyejikita zaidi kwenye project za kusheza Kama main character, na project zake zote zinakuwaga Box office successful

Ila Samuel yeye anacheza project yoyote hasa kwenye supporting actor na ndio filamu nyingi zaidi alizocheza kuliko main Actor(stering)

Denzel ana tuzo ya oscar academic award 1 kwa muvi yake ya training day na ana nomination kama 9 hivi

Samuel yeye hana tuzo ya Oscar academic award na amekuwa nominated mara chache kuliko Denzel, yeye anaongoza kucheza muvi nyingi kuliko mtu yeyote kwa maana ya kushiriki kama main Actor na supporting actor
Anamfkkia kweli Danzel Washington..
 
Back
Top Bottom