Mapenzi Yana nguvu jamani

Mapenzi Yana nguvu jamani

Wewe ni jembe mkuu.
Pambana utatotoboa.
Hata Diamond alipofanyiwa usaili THT alikataliwa.
Usikubali maneno ya watu yakukatishe tamaa.

Pambana mkuu utatoboa.
Usisahau kutoa EP maana vocal ni ya kipekee na una pumzi ya kutosha.
 
😅
 
Back
Top Bottom